Dotworld Hiyo taarifa ni kwa wanaojua kizungu tu? Waitafasri kitaalamu na kwa kiswahili.Hata kama mtu unajua kizungu lakini bado taarifa imeandikwa kitaalamu zaidi wangeiandika kwa lugha nyepesi na kuitafasri kwa kiswahili. Sasa mimi na bi-modal areas wapi wapi!
JAMHURI
YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA UCHUKUZIMAMLAKA YAHALIYAHEWA TANZANIA
Simu: 255
22246073512460706
F
kKSI: 255 22246073512460700
Simu pepe: met@meteo
.go.tzTovuti: www.meteo.go.tzUnapojibu tafadhali nakili:
S.L.P.3056DAR ES SALAAM
Taarifa Na. 20121005-01Muda wa Kutolewa Saa 10:00 AlasiriSaa za Afrika MasharikiDaraja Ia Taarifa:l:Taarifa 2:Ushauri 3:Tahadhari Tahadhari4:Tahadhari Kubwa:Kuanzia: Jumatatu 08 Oktoba, 2012 TareheMpaka: Alhamisi 11 Oktoba, 2012 TareheAina ya TukioLinalotarajiwa Mvua Kubwa na upepo mkali(Mvua kubwa )Eneo Ukanda wa Pwani (Dar es Salaam, Morogoro na Pwani)
, visiwa vyaUnguja na Pemba na mikoa ya Kusini mwa nchi (Lindi na Mtwara).Maelezo: Kuna mgandamizo mdogo wa hewa (low pressure system) katikaeneo la kusini magharibi mwa Bahari ya Hindi sambamba nakuimarika kwa viashiria vya kuanza kwa mvua za Vuli katika ukandawa pwani ya Bahari ya Hindi. Hali hii inatarajiwa kusababishavipindi vya mvua kubwa katika maeneo tajwa.Maelezo ya Ziada: Kuna uwezekano wa viwango vya mvua kati ya mm 50 hadi 100katika vipindi vifupi.
Aidha, hali ya Upepo mkali inatarajiwa zaidi katika maeneo yaBahari ya Hindi.
~.6\fP
Dkt. Agnes L. Kijazi
MKURUGENZI MKUU