Labda alitaka kusema weirdMkuu WEARD maana yake nini?
Nikajua kuna bj uliipiga mahaliSijakumbuka ila niliwaza tu kwa sauti
Yaani tumkemee katika Jina lipitalo majina yote 😅Mawazo yako tu ya kishetani
Haya nimekuelewa mkuu,Me sijala ila nimeona tu haipo sawa kula mbele za watu kwakujilambalamba