duu Libwata hiloo...?!? wanawake wamekua wabaya sana siku hizi yaan kama sisi wenye waume ndo roho juujuu kumuomba Mungu awalinde wasijepulizwa...kama ni kaka yangu ohooo atantambuaa kama ndugu wa kuwahudumia wameisha basi ndo afanye hivo..halafu mtu kama huyo inakuta wazee wake wanalalia mbavu za mbwq ndugu zake maisha duni yeye anagawa kwa wanawake ambao pengine hawana hata futer nao..najivuna maana sijawahi hongwa na mwanaume labda nihonge mimi ndo maana nawachukia sana wanawake wanaotegemea pochi za kaka zetu..fanyeni kazi acheni kuishi kwa miujiza mjini maana miujiza kwa wadada imezidi..
kama mtu anafanya kazi ya 250,000/- kwa mwezi...
mkoba wake 120,000/-
viatu 100,000
gari toyota Nadia
nyumba nzima anaishi kodi si chini ya 400,000/- kwa mwezi
ngui anazovaa 80,000/- kwa 50,000/- top
mawigi ya laki2
simu 1m mpaka laki700
na haba kitu.ambacho ni used kwake sasa kanisani au.msikitini ataenda kufata nini wakati yeye mwenyewe anatenda miujiza...mshahara mdogo au kazi hana kabisa lakini anaishi kifahari sio muujiza huo?
ninajua uchungu wa hela maana natafuta kihalali na kwa jasho..sasa kaka zangu nawahurumia maana nahis ningekua mwanaume bas nisingekua na dem kwa ubahili wangu..yaani nimimine mapesa yote hayo kwa girlfriend?? tena sio.MKe? maana hata mchumba huna haki ya kumhudumia hivyo...kisa ni just APPLE?? hahahaha kweli watu tunatofautiana..Mungu alijua akanipa kaka mmoja tu na ni mdogo kwangu so huwa ananisikiliza tabia ya kuhonga wanawake haipo kabisaaa...