englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Haaha ahaaaa.. huyo kweli katumwa! yaani hata ndizi haioni!!!!
Hahahahahaha anataka kuona hicho kilichofichwa lol
...
Anaitakia nini ndizi wakati anayo na yeye!!!
Kila siku unanipa hicho cha mkononi na huyo mwenzangu unampa hicho chengine, basi nami unipe leo1
mwe!!! mawazo mbofu mbofu
Anataka kitu roho napenda!Hata nyani nae anajua vitu vizuri sana
Teh teh teh!unahisi aliwahi kumpa?Wanajuana
Teh teh teh!kwani amekua paka huyo?Amevutiwa na kijiharufu flan hiv!