Ni sahihi, pengine unalazimika kukasirika na hatimae ukaishia kumzaba kibao mke. Ila wapo wanawake ukimwasha kofi moja ndio umeamsha tafrani. Ataibuka na mitusi ya kukufedhehesha, yapo makabila hakika wanawake wameumbwa bila aibu wala adabu, wao kutukana, kupigana ni jadi yao. Hivi navyoandika nimepita karibu na nyumba fulani namsikia mwanamke akiporomosha mitusi, nasikiliza kumbe anamtusi jamaa wa nyumba ya jirani (jirani yake) wamepakana nyumba. Kisa eti huyo mwanamke kaona maji yanemwagwa kupitia juu ya ukuta na yamemwagikia kwenye eneo lake. Anamwaga mitusi balaaaa ni ile mitusi ambayo kama una shetani la kuchapana huwezi kumwachia...nasikia mumewe anamsihi lakini mama anajibu "na wewe uache u.fa.la.wamezoea hawa halafu we unatetea ujinga".'Kazi ipo!