gobore
JF-Expert Member
- Aug 17, 2009
- 715
- 352
Nadhani ni saikolojia ndio inayomfanya Mume au Mke aione mwenzake ni GUBU. Yupo rafiki yangu yeye ni Mhaya na ni tumishi wa Jeshi la wananchi kaoa Mtu wa Musoma (Nadhani ni Mgita). "..".......................ri inapotokea ugomvi wa maneno, ni bora uanze kutengeneza tabia ya kumpuuza au ikizidi toka nje endelea na misele yako baada ya muda atajiona mjinga tu atakosa wa kumsemesha....imekwenda hivyo sasa jamaa anasema yupo "happy" sana mama si mkorofi kama zamani, baada ya kumpuuza anapoongea mama alianza kujirudi na sasa anaona alichokuwa akifanya si sahihi....
Ninakuelewa mkuu unachokisema! Mimi nina expirience zote mbili ndo maana nasema kuwa kuna kipindi inabidi wapigwe ila sio kila time, na ni kutokana na mwanamke na mwanamke! Na kingine pia mimi piga ninayoiongelea ni ya kunyamazisha tu kofi moja akae kimya asipokaa kimya mi ntaondoka zangu cause otherwise ntaua aiseeee au mwanamke nimpige naye anarudishia ntamjeruhi na hiyo ndio mwisho kesho yakeatakua anakusanya chakeanaenda kwao kwakua mimi najijua nilivyo na nini nakiaminikuhusu uhusiano wa mwanamke na mwanaume, mipaka inayopaswa kuwepo na vitu kama hivyo! Ukimchapa mwanamke ni kumtia fahamu asidhani anabishana na mashoga zake huko lakini sio kupiga kama mwizi!
Umenikumbusha kitu miaka kadhaa iliyopita kuna jirani yangu Kigoma huko alikua akigombana na mke wake hadi wanapigana na michi ya kutwangia ile, siku moja katoka hadi nje wanakimbizana na shoka! Hiyo ni too much! Hiyo hata mimi siiafiki. Salute mkuu