"we ua tu baba ..si ndoa yako hii!!"

"we ua tu baba ..si ndoa yako hii!!"

No tatizo kuna wanawake wana midomo mirefu sana! Sasa inafikia kipindi wewe pilipili zako zishakupanda umekaa kimya kabisa ila yeye anaendeleza kuchonga tu! Ukimpatia kofi moja la haja lazima akae kimya.....

Ulishajiuliza kwanini ana mdomo mrefu?
 
Ngumu sana aisee. Paw akitaka kufa, aniguse, namaanisha!
Abusive relationships are too unhealthy na zinaathiri hata watoto. Mkiona mnapigana bora muachane miwe mnatembeleana! Brainwashing ya kwamba sijui nalinda ndoa is total ----!

Sasa unasema bora tuachane unadhani mpaka ninakuchapa kuna ndoa tena hapo? Ndo nishakuacha hivyo ujue bado matokeo tu! Call me old type, call me a coward, call me inferior niite violent ama vyovyote vile! Ukweli ni kuwa kuna wanawake wana midomo sana! Uswazi wanawaita wana gubu mtu hadi unakosa amani sasa kuwanyamazisha ni mkono tu! Am not a type of Guy amabaye ntatoka tu huko mishe nije ninanzishe ugomvi! Mmi sio chizi, na pia sio kuwa nakuta msg kwenye simu tu eti nakudunda kama sio wehu ni nini? Ila kuna sababu nyingine wanavuka mipaka ndo unawaonyesha kuwa hapa umekosea mimi ni mwanaume humu ndani!
 
mimi nimependa hiyo picha ya pili. mwanamke wa kikenya akimwadhibu mmewe! jamani kama wewe ni mwanaume wa ukweli then unapiga mkeo tena sometimes mbele ya watoto wenu basi fanya hivi. muwe, wewe na mkeo, mpeane zamu ya kuchapana mbele ya watoto wenu. siku moja ukimpiga mkeo the siku ya pili kubali mkeo nae akupige. fanyeni usawa maana 'mwanamke na mwanaume wote wameumbwa kwa mfano wa Mungu aliye hai'...teh..teeh..
:target::target::target:
 
Ulishajiuliza kwanini ana mdomo mrefu?

Wengine ni gubu tu! I happened to know women vizuri na nnajua kuna wengine that is the way to express their issues, labda something is wrong ndo anakua na mdomo mrefu ila kuna mipaka aisee kwamba sasa huyu nnaeongea nae ni mume wangu! Sasa to put some sense in Her unamkata wenge kidogo akikaa vizuri mnaongea kwa adabu.
 
mimi nimependa hiyo picha ya pili. mwanamke wa kikenya akimwadhibu mmewe! jamani kama wewe ni mwanaume wa ukweli then unapiga mkewe tena sometimes mbele ya watoto wenu basi fanya hivi. muwe, wewe na mkeo, mpeane zamu ya kuchapana mbele ya watoto wenu. siku moja ukimpiga mkeo the siku ya pili kubali mkeo nae akupige. fanyeni usawa maana 'mwanamke na mwanaume wote wameumbwa kwa mfano wa Mungu aliye hai'...teh..teeh..
:target::target::target:

Na wewe mwanaume mzima ukapigwe na mkeo utakua mzima kweli? Si umtafutie na dildo tu awe anakupiga miti kabisa? No way labda sio mimi Gobore niliyelipa na ng'ombe kwenu....teh teh
 
Kauli za waathirika(victims) zinajulikana tu.

Endelea kujifariji, sijawahi kupigwa kwetu hata siku moja.

Na hakuna mume anaejua wajibu wake anaeweza kunipiga vile vile.

hatuelewani basi kila mtu ashike hamsini zake, sio kutiana vilema usawa huu

Siku ukinipiga ndo siku hiyo ya mwisho kugusa ngozi yangu...ever
 
Na wewe mwanaume mzima ukapigwe na mkeo utakua mzima kweli? Si umtafutie na dildo tu awe anakupiga miti kabisa? No way labda sio mimi Gobore niliyelipa na ng'ombe kwenu....teh teh

huo ndo mfumo dume uliokujaa hata hutaki kubadirika! lazima mpeane zamu za kupigana. wewe kwa umalaya wako mkeo anakufumania halafu tena unamkung'uta makofi. omba ishu kama hiyo isikutokee mimi nikiwa karibu yako maana nitakukamata na mkeo akukung'ute uone machungu nawe pia!
 
Wengine ni gubu tu! I happened to know women vizuri na nnajua kuna wengine that is the way to express their issues, labda something is wrong ndo anakua na mdomo mrefu ila kuna mipaka aisee kwamba sasa huyu nnaeongea nae ni mume wangu! Sasa to put some sense in Her unamkata wenge kidogo akikaa vizuri mnaongea kwa adabu.

Ni gubu tu.
Gubu ni nini? Mwenye gubu anakuwaje?
Gubu husababishwa na nini?
Gubu humalizwa na nini?
 
...huku kwetu mara husipo-mpa kibano wife anaanza kuhisi kwamba haumpendi,kwahiyo unapopita muda fulani inakubidi utafute ka-sababu ka-mkutandika makofi mawili ma-tatu ili achangamke na ajuekuwa unampenda...
 
huo ndo mfumo dume uliokujaa hata hutaki kubadirika! lazima mpeane zamu za kupigana. wewe kwa umalaya wako mkeo anakufumania halafu tena unamkung'uta makofi. omba ishu kama hiyo isikutokee mimi nikiwa karibu yako maana nitakukamata na mkeo akukung'ute uone machungu nawe pia!

Uzuri wenyewe ni kwamba nnajiweza! Atakayeingilia namuonganisha na yeye! Ukinishinda nakukabidhi mke kabisa! Sidhani kama ni mfumo dume, ishu ni silika yakiume tu ama labda mimi ndio nilivyo! Mimi hata mabosi wangu walikua wananijua mambo ya kufokeana hadi inakua personal walikua wanaamulia walinzi! Ila ilikua inaleta heshima baadaye! Kama mtu anaongea civil we utaanza kurusha ngumi si utakua mwehu?? Ila eti ndo anishikie kiboko? nani mke wangu? Weeeeeh.... Acha kabisa we ndugu yangu! Hunijui sikujui na tuna malezi tofauti na pengine vipindi tofauti vya makuzi! Ila mimi natetea NDIO kuna kipindi mke anatakiwa kuchapwa!
 
Ni gubu tu.
Gubu ni nini? Mwenye gubu anakuwaje?
Gubu husababishwa na nini?
Gubu humalizwa na nini?

We ni mwanamke! Unalijua Gubu ni kitu gani NO DOUBT! Vile mnakuaga na visa vile..... Ndo Gubu hilo
 
We ni mwanamke! Unalijua Gubu ni kitu gani NO DOUBT! Vile mnakuaga na visa vile..... Ndo Gubu hilo

Hatutafika popote, bado nina baki na conclusion yangu. The one who beats his wife is a coward!
 
Wengine ni gubu tu! I happened to know women vizuri na nnajua kuna wengine that is the way to express their issues, labda something is wrong ndo anakua na mdomo mrefu ila kuna mipaka aisee kwamba sasa huyu nnaeongea nae ni mume wangu! Sasa to put some sense in Her unamkata wenge kidogo akikaa vizuri mnaongea kwa adabu.

Nadhani ni saikolojia ndio inayomfanya Mume au Mke aione mwenzake ni GUBU. Yupo rafiki yangu yeye ni Mhaya na ni tumishi wa Jeshi la wananchi kaoa Mtu wa Musoma (Nadhani ni Mgita). Kwa miaka fulani walikuwa hawamalizi wiki kila siku lazima mama achapwe kichapo cha mbwa mwizi. Ikafika kipindi mama akawa hana raha lakini pia kutokana na kipigo saikolojia yake ikawa inamtuma kuwa mkorofi tu ...Hali hii ilipelekea wakati mama kuondoka nyumbani kwa mwezi mzima akawa anakaa na wazazi wake mbali. Jamaa aliponisimulia, nilimuuliza, hivi ukimpiga huwa unapata nini? akasema mkewe ana gubu sana, asipopigwa hafungi mdomo. Lakini nikamuuliza mbona ukimpiga huwa majirani tunasikia kelele za kuendelea kukutukana? na hata ukimpiga haiishii hapo, siku chache baadae tunasikia vilio tena?. Alikaa kimya, baadae akasema labda kwa kuwa mimi sijaoa mwamamke wa kutokea Musoma, ningejua. Lakini nikamrejesha kwa jirani mwingine ambae nae anamke wa Musoma, nikamuuliza mbona jamaa yeye hapigi kama wewe mkuu? akajibu "huyu na mkewe wote ni wajita, wanaelewana tabia..." nikamwambia inawezekana mkeo akawa na tabia nzuri ila hujiamini tu na inafikia wakati unaweza kuona kipigo ndio dawa. Nikamshauri kama unaona hamwezi kuongea vizuri inapotokea ugomvi wa maneno, ni bora uanze kutengeneza tabia ya kumpuuza au ikizidi toka nje endelea na misele yako baada ya muda atajiona mjinga tu atakosa wa kumsemesha....imekwenda hivyo sasa jamaa anasema yupo "happy" sana mama si mkorofi kama zamani, baada ya kumpuuza anapoongea mama alianza kujirudi na sasa anaona alichokuwa akifanya si sahihi....
 
Hatutafika popote, bado nina baki na conclusion yangu. The one who beats his wife is a coward!

Coward huwa anajijua kabisa kuwa ni coward! Sidhani kama mimi ni mmoja wao! Mimi msimamo wangu ni kuwa kuna kipindi wanawake wana"invite" kupigwa wao wenyewe! Baba yangu hajawahi kumpiga mama yangu hata siku moja japokua alikua mkali sana! Nimekulia kwa babu! Yeye alikua anawachapa wake zake kabisaaa viboko tena wanalala chini kama wanafunzi! Nimekaa kwenye ndoa kwa miaka 9 sijawahi kumpiga mke wangu hata siku moja(Incident moja tu ilitoke I almost hit her wakati wa uchumba nikamshika nikamrusha kitandani nikaondoka zangu), alikua ni mwanamke anayejielewa vizuri na anajua mwanaume ni kitu gani! ILA nimeendelea kudate kwa miaka sasa wote ndo type hizoza kushindana na mimi so makofi wanachezea vizuri tu akili zikikaa sawa tunamaliza! Wanawake sio chombo cha kupiga ila iaruhusiwa kupiga mwanamke! Huo ndo msimamo wangu
 
ni fimbo moja tu, inayoruhusiwa kumpiga mwanamke!
 
kuna kesi moja ya mwanamke alimfuata mumewe bar akiwa na rafiki zake, alipofika tu akamwanga pombe ya mumewe kwa matusi na kumburuta warudi nyumbani. walipofika nyumbani mwanamke akachukua simu ya mumewe na kuilaza kwenye basin la maji mpaka asubuhi. ni mwanamke mwenye gubu miaka yote hata kabla ya kuoana. nilipopata habari kama wawili hawa walifunga ndoa, mimi banafsi nilishangaa. kama ni wewe mwanamke kama huyu utamfanyaje? maana huyu jamaa ambae ndio rafiki yangu anakaa kimya na kuacha ujinga huu uzidi kuota mizizi.
kama ni mimi sio siri, kipigo kitakatifu lazima kipite halafu nimuone kama kesho atakua na nguvu ya kuja kunidhalilisha bar na rafiki zake.
kuna wanaopenda kupiga wanawake zao bila sababu za msingi, hawa sitawaunga mkono, lakini kuna mwingine atakuingia kichwani mpaka utarusha kofi ndio atafunga mdomo. wanawake saa nyingine vipigo mnavitaka wenyewe.
jumapili njema.
 
Back
Top Bottom