Tutamkumbuka sana,huyu ndiye aliyetufanya tukajuwa TV,video,gari recondition toka Dubai na Japan,nguo toka nje,furniture toka nje,vifaa vya ujenzi toka nje,tiles,masinki ya jiko,choo,na vyitu vingi vya kisasa.nakumbuka niliwahi kuokota sh mia nyekundu hivi kubwa kama gazeti ilikuwa kama sherehe home
enzi za mwalimu tulikuwa washamba balaa ,kombe la dunia likiisha mnasubiri miezi minne kuja kuangalia mikanda kwa wateule wachache wenye video duTutamkumbuka sana,huyu ndiye aliyetufanya tukajuwa TV,video,gari recondition toka Dubai na Japan,nguo toka nje,furniture toka nje,vifaa vya ujenzi toka nje,tiles,masinki ya jiko,choo,na vyitu vingi vya kisasa.
Sana,mwinyi katutoa ushamba,ilikuwa tukienda Kenya au Zanzibar ndio twaona TV,na vitu vingine vya kisasa.enzi za mwalimu tulikuwa washamba balaa ,kombe la dunia likiisha mnasubiri miezi minne kuja kuangalia mikanda kwa wateule wachache wenye video du