We need to talk!!!!!!!!!!!

charminglady nimemuambia vukani kuwa hata sisi tunajua lugha zingine so asitutishe na kiarabu, nimemuandikia kwa kijapani, tena angekuwa live ningemshushia kispanish mpaka angeshangaa
 
Last edited by a moderator:

hahahaaaa.... tena mwambie hata kisukuma tunajue..... hebu mpe kibwagizo kuonesha msisitizo!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom