Huu ni uthibitisho ndoa inaongozwa na mwanamke na huyo mwanamke na master plan wa hiyo familia...kiufupi upo kwenye 18 za mwanamke.
Ninacho jua kwenye mapenzi ya kweli wivu haukosekani na Palipo na wivu vijiugomvi havikosi. Sasa unapo sema mkeo. Mnapendana hamgombani Napata mashaka...mzee hapo kuna mmoja anamuigizia mwenzie.....chunguza maana hakunaga mwanamke Asie na kashikashi kwenye mapenzi yawe ya ukweli yawe ya uongo