Kukaja Kununu
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 1,077
- 1,212
Nijuze mkuu siijui
Sasa atazeekaje
Law of use and disuse huijui??
Sent by IPhone
Sasa atazeekaje
Law of use and disuse huijui??
Sent by IPhone
Mkuu niajeHawa dada zetu wana huruma unaweza kufunguliwa pm,sema huu mwezi unaruhusu kwake?
View attachment 1429945
Huwa anachakata kitu gani rafiki?
Unajifanya una kaustaarabu flani hivi ,unajua nini mwanaume anahitaji,una Vision ya maisha ,
ila unaonekana ni Mvivu wa kupika hiyo ni kulingana na coment zako nyingi nilizozifatilia,
We mwanamke nimekuja PM kwako mara kadhaa naona Umefunga na kufuri la chuma ,
Ebu fungua basi hilo kufuri lako Zero IQ nataka nije niweke uwekezaji wa kiwanda cha Uchakataji ,
Dhumuni nije nikuletee mikataba mezani ukikubaliana na terms zangu tufanye kazi .
Pliz ukipita hapa usisite kunipa mrejesho kama tayari umefungua hiyo PM ili nijongeee taratibu na mikataba yangu.
CC Zero IQ
nilimwagwa na mrembo mkuuMkuu niaje
Me nauliza hili jina lina Siri Gani ??mpaka umeamua kujiita hvyo
miminimkulimaakachekasana[emoji38][emoji38][emoji38]
Kongole kwako muhengaMkuu Mimi nafikiri hakukuwa na ulazima wa kuanzisha tafuta post yake quote then mwambie naomba nifungulie pm, hii ingekuwa rahisi na ingepunguza muda
Gaddamit [emoji38][emoji38][emoji38] hawajisomi ujue.nilimwagwa na mrembo mkuu
sema sikummind sana kwasababu alienda kwa mtu mwenye mafanikio zaidi yangu,ni kitu kizuri.Gaddamit [emoji38][emoji38][emoji38] hawajisomi ujue.
Yani Kilimo ndio kaona dosari
Huwa anachakata kitu gani rafiki?
Papuchi rafiki! sijui kuhusu ule upande wako pendwa sijui kama nao anawachakataga!
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] Aisee kwa iyo muda wote anazichakata tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
sema sikummind sana kwasababu alienda kwa mtu mwenye mafanikio zaidi yangu,ni kitu kizuri.
Sasa hivi mbona ni marafiki bado
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]