swaki la jiti
Member
- Oct 6, 2017
- 97
- 60
KamweWanafiki hawataisha
Labda bashite ndie atammissHata Magu mtammiss tu
Mbona kama vile mateja....[emoji45] [emoji45]
Nitammiss kwa haya machache tu.Hata Magu mtammiss tu
Dogo nani sasa?Jifikirie dogo..empty kabisa
Wewe!Dogo nani sasa?
Unajuaje kama mm dogo?Wewe!
Muulize mleta thread!Unajuaje kama mm dogo?
......"Kafie mbele kule"....!Nitammiss kwa haya machache tu.
1. Msiwabomolee hao ndio walinipa kura
2. Mawaziri wengine ni wapumbavu
3. Wanasema hajasoma hata kama anajua A lakini anakamata madawa ya kulevya kwangu anafaa
4. Nakupa mshahara na ulinzi halafu umtangaze Mpinzani mshidi!!?
5.........
Ngoja nivute pumzi kwanza!
Akiacha chuki itapendezaHata Magu mtammiss tu
Siku ikifika nitakufa mkuu......."Kafie mbele kule"....!
Mange kasema.Hata Magu mtammiss tu