We mdada, kwa taharifa yako tu.

hata sijaelewa kitu hapo, nimetoka kapa
 
Wanadamu tuna tabu sana.Hata kuipata starehe nayo inahitaji kazi na taabu.
 

heee kumbe kuoshea k maji ya moto haifaii???? So ya baridi ndo mpango mzima?
 
Sio lzm yawe na pressure bt maji ya baridi ndo mambo yote, kitu kinakuwa new
Duh!
Hizo bomba mie nazichukulia for granted sana, najua ni za kawaida kumbe zina multiple uses.
Mna mambo!
 
Jamani,msithubutu kutumia maji ya moto huko chini kutakuwa bwawa la mtera!maji ya baridi kwa maana halisi ya baridi ndo mpango mzima!
 
Hi dunia inaelekea kubaya !!!
Kwa hiyo tafsiri yake ni kuwa unato.....mbwa na maji au ???
Acheni kuwafundisha watoto tabia mbaya.
 
Aisee kwa hiyo wana jitekenya!
 
Kiafya smtymz si nzuri..nilishawahi kuta ulenda wa damu..so better uisafishe kwanza..tangu tht day sina hamu nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…