we mbayaaa.. we mbaya wewe.. we mbayaaaaaa

Junior. Cux

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Posts
5,319
Reaction score
3,798
http://modmyi.com hawa jamaa wameiba kazi ya mello asee au ndo mello amecopy na kupaste!!! just anxious to know...
 
mbona its just another forum sioni copy n paste iko wap!!?
 
hahaha mkuu hukuwa wajua hii vbulletin forums mbona nyingi na zote zinakuwa kama jf
 
hahaha mkuu hukuwa wajua hii vbulletin forums mbona nyingi na zote zinakuwa kama jf

Ni kama www.modmymobile.com hawa jamaa waliniwezesha sana kumodify SLVR L7 Mwaka 2009 kipindi hicho wanajiita modmymoto.com
 
hakuna jipya chini ya jua.... junior.cox
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…