Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,972
Wewe ke au me?
Tuanzie hapo kwanza!
Hapo hapo ndipo nilipoona changamoto kwa brazaBraza kede anasema "Mbaba"
Acha kuruka km maharagwe lete majibu unaacha ngapi?Wewe ke au me?
Tuanzie hapo kwanza!
lete majibu unaacha ngapi?Braza kede anasema "Mbaba"
Kiutu uzima zaidiKuacha hela mezani ..style ya zamani Sana..
Hakikisha nyumba ina chakula Tu gas...na ulipie king'amuzi housegirl atulie kutazama sinema zetu akishapika......
Nyiny hamna lolote mnajfanya mabachela uku mnavizia shemeji zenu nyambaff kabisa[emoji1]. Oa haraka mkuu.Mabachela tunaacha nn mezani wapi
🤣🤣🤣Nyiny hamna lolote mnajfanya mabachela uku mnavizia shemeji zenu nyambaff kabisa[emoji1]. Oa haraka mkuu.
wamama naskia kwenye kikao chao wamepitisha fomula yao ni ileile changu changu chake changuTuambie kama ni kwa siku/mwezi?
Weka mambo hadharani.
Ukweli utakuweka huru
Hivi wamama na wao wanaacha ya mezani au tuwaache kwanza?
Buku 7Tuambie kama ni kwa siku/mwezi?
Weka mambo hadharani.
Ukweli utakuweka huru
Hivi wamama na wao wanaacha ya mezani au tuwaache kwanza?