We jamaa, nakupenda ujue

Ha ha ha aisee umenikumbusha enzi izo za leMambo club pale Mabibo hostel nilikua sikosi ladie free jtano , alhamisi na jumapili yaani full kubamba vitoto vya buguruni hukoo

Dah haya maisha banaa safari ndefu sana aiseeee

Ha hsaaaa!!!! Na ile kukatiza na Boxer kwenye korido...aiseeeee we Jamaa kiboko
 
Mchumba kazi kwako sasa, ashajulikana, utupe feedback basi km azma yako ishatimia!!Msisahau tu kuvaa condom just incase mkifika hatua hiyo!
 

dah kaka unafaa kuwa kuwadi unavyo mremba
 

Kwani Ni nini kazi ya PM, Halaaaah
, ebu muendee huko na nani alikuambia huku kuna kuonana physically?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…