We jamaa, nakupenda ujue

Safi saaaana maana kaona akisema anatafuta mvmcumba mtamjazia PM tu zisizo na msingi. Haya kajichagulia mwenyewe. Na mimi natafuta kabinti au kalikokomaa kidogo tusaidiane
 
Mchumba jilipue tu mwaya,
Inatokeaga sana tu!! tunapenda mwanaume na hajui km unampenda unaishia kuumia rohoni, funguka upate amani moyoni, hata akikukataa dukuduku lako ushalitoa.
 
Last edited by a moderator:
jamani hivi kuna jukwaa la wakubwa? na mnapataje access za huko?
 
mimi hunipendi changamkia fursa twenzetu
 

Belive u me MOST of the times what someone says in real life or incognito tells a lot about thier character.
 

Copy: asigwa
 
Last edited by a moderator:
Unaona umeamua kuvunja ukimya na kuzungumza na mwenzio!!!!!!!
 
Jaman hata kuna wanaume wawili humu nawapenda kweli japo siwajui lakin napenda maneno yao mmoja ni..........nashindwa hata kumsema wawili siku nikiwabahatisha watanikomajeeeeee
 
Jamani mtafuteni huyo mwenye bahati hii kabla jua halijazama awe amewasili hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…