Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,703
- 19,589
kiss ov love a.k.a binti sayuni03 twende kwenye jukwaa letu pendwa hili halituhusu mamie.Duh! Mbona hatari sasa hii

Kuna njia gani nyingine mbadala uliyoona wanaitaka? Je, kwa yaliyotokea oktoba 29, ni kweli kabisa hadi sasa hakuna aliyetakiwa kuwa ama amewajibishwa ama amejiwajibisha?Naam
Nadhani unafahamu kitakachokwenda kutokea kwahiyo ilikuwa ni busara kuja na njia mbadala ya kusuluhisha haya mambo ili yaweze kuisha
Kutunishiana misuli kwa kuwaweka chambo watoto wa masikini mnakosea sana na hakika mtakuja kulipa hili
Kifo hakijawahi kuwa suluhisho la tatizo lolote watu tunaoshindana nao hatuwawezi kwa namna yoyote
Kila mwananchi anaelewa system ya Government ilivyo so haina haja ya kila dakika kuanzisha mathread ya kuchochea maaandamano
Hii inaonesha kwamba kuna watu ni wanufaika wakubwa wa haya maandamano, kuna watu ndo wanapopatia ugali wao that's why hawataki option nyingine yoyote zaidi ya hii waliyoichagua
Watanzania inatakiwa tuamke sio kila jambo ni la kubeba tu kama matahira tunashindwa hadi na kunguru ambaye akiona umeshika manati atakimbia eneo hilo kwa sababu anajua madhara yake
Kumshawishi raia masikini aende barabarani akiwa hana silaha yoyote ya moto huku mkijua kabisa atakachoenda kukutana nacho ni dhambi moja kubwa sana na hakika mtaenda kuchomwa motoni
Hao kina Hilda na Maria Sarungi wanashindwa nini kutoka Kenya huko kuja kuungana na wenzao huku kupamabania nchi yao.Wao ndo wanajiita mashujaa wa keyboard na kuna nyumbu za Tanzania zinaingia kweli barabarani aisee
Boniface Mwangi mwanaharakati maarufu Kenya kipindi cha maandamano ya Gen Z wa Kenya wala yeye hakuhamasisha akiwa Uganda au Tanzania bali alikuwa palepale Kenya na siku ya maandamano alikuwa front vile ndo inatakiwa
Kuna yule Aunt Lulu kabla ya kukengeuka alishawahi kukiri kuwa analipwa Milioni mbili kwa mwezi na Sativa kwa ajili ya kupost harakati tu hii inaonesha kuna pesa wanapata kupitia hayo mambo
Tunaizika nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe
Which room are you talking about mkuu ? Enough is enough. Tangu tumeomba reform ile ni room l . Wangekubali tungekua na uchaguzi huru na wa haki mambo ya October 29 isingetokea. SASA HATUWEZI KUONGEA NA MTU ASIE TAKA KUTUSIKILIZA huoni kua wameziba masikio kabisa .Serikali ina makosa pia na wameshakiri wenyewe wamekosea
Tuwape room ya kujirekebisha na kutenda yale waliyoahidi.Tunachotaka kukifanya sisi ni kumporomoshea matusi mtu unayemdai akiwa amechelewa kurejesha na pesa akiwa bado kaishika mkononi mwake anaweza akaamua kuondoka nayo na asikulipe tena
Hizo habari za dunia kuangalia ndo zinawapoteza vijana kwanini tukariri njia moja tu ya kupambana na hawa madhalimu njia ambayo tumeona madhara yake
Njia ambayo tumeona wanachi wengi hawajaiunga mkono ndo maana tumeona misururu ya watu wakiondoka Dar kwenda vijijini
Kwenda barabarani na jiwe huku mwenzako akiwa na bunduki inaonesha jinsi gani tuna akili finyu
Kushawishiwa na kakikundi cha watu wachache hasa wanafahamika wa chama fulani waliopo nje ya nchi kuingia barabarani halafu wao wakichungulia kwenye computer zao kinachoendelea ni upumbavu
Tunawapenda ndugu zetu bado tunatamani kuwa nao na ndio maana hatutaki kuwapoteza hata Sativa hatamani kufa ndiyo maana badala ya kujeruhiwa na risasi akakimbia nchi kabisa ila eti anawashauri wale waliopona October 29 nao waende tena huku yeye akiwa nje ya nchi 😅🥲 inafurahisha na kuumiza sana
labda halikuhusu wewe mimi linanihusukiss ov love a.k.a binti sayuni03 twende kwenye jukwaa letu pendwa hili halituhusu mamie.
Hatutaki kuishi kwa kulipiza kisasi; tunachotaka ni kuhakikisha kuwa tunaishi kwa uhuru katika nchi yetu; tusiishikwa hofu ya kupigwa, kutekwa, kubakwa na kufanyiwa kila aina ya ubaya kwa sababu tu kuwa tuko kinyume nao.Ha ha ha Mimi juzi nilikutana na Polisi nilimkata jicho Kali mpaka ajishitukia mwenyewe.
Nikipata nafasi ya kulipa KISASI nitalipa haraka
Unajua kuna watu wanafikiria - kwa makosa kabisa - kuwa kupigiwa saluti na ving'ora ndio uhalali wa kutawala. Hakuna uongozi ulioingia katika mazingira ya kukosa uhalali (illegitimacy) kama huu wa Samia. Sasa ili wawe na uhalali wanataka kuishi kwa risasi. Cha kuudhi ni kuwa badala ya kuwalaumu walioua watu wanawalaumu watoto na vijana walioandamana kuipinga serikali.Suluhisho gani la maana na la kudumu litapatikana kwa kumtishia yule ambae unataka msuluhishwe nae?
Badala ya kuwalaumu wanaotaka kudai haki yao bila silaha mikononi ulipaswa kuwalaumu wale wenye silaha ambao wako tayari kuzitumia ili wasisikie madai na vilio vya wale ambao kodi zao ndio zimenunua hizo silaha.
Watapungukiwa nini wakiwaachia waandamane bila kuwadhuru? Si ndio watasikia vizuri machungu yao na masikitiko yao?
Inatakiwa tukubali kuwa wenye nchi wana haki ya kusikilizwa na kuheshimiwa. Kuwabeza na kuwatisha hakuwatendei haki.
Amandla...
ungetolea mfano wa hili basi angalau ungekuwa na uhalali wa kuninyoshea kidole. Kama unahalalisha mauaji ya sasa kwa sababu Magufuli "aliua" sijui unawezejaje. Sikumbuki wakati wowote serikali ya Magufuli ilimwaga risasi mitaani, kubaka na kulawiti watoto wetu, na kurundika miili katika mahospitali. Nasubiri unitafutie angalau kavideo kamoja kama polisi wakati wa Magufuli wakimwaga risasi mitaani hadi kwenye majumba ya watu. Nakaa nasubiria.Magufuli alivyoua na kukandamiza watu ulifurahia sana!! Huna moral ethics za kuzungumzia tena haya mzee mpumbavu!!
Walikiri kukosea wapi? Labda miye nilimiss.Serikali ina makosa pia na wameshakiri wenyewe wamekosea
Tuwape room ya kujirekebisha na kutenda yale waliyoahidi.Tunachotaka kukifanya sisi ni kumporomoshea matusi mtu unayemdai akiwa amechelewa kurejesha na pesa akiwa bado kaishika mkononi mwake anaweza akaamua kuondoka nayo na asikulipe tena
Hizo habari za dunia kuangalia ndo zinawapoteza vijana kwanini tukariri njia moja tu ya kupambana na hawa madhalimu njia ambayo tumeona madhara yake
Njia ambayo tumeona wanachi wengi hawajaiunga mkono ndo maana tumeona misururu ya watu wakiondoka Dar kwenda vijijini
Kwenda barabarani na jiwe huku mwenzako akiwa na bunduki inaonesha jinsi gani tuna akili finyu
Kushawishiwa na kakikundi cha watu wachache hasa wanafahamika wa chama fulani waliopo nje ya nchi kuingia barabarani halafu wao wakichungulia kwenye computer zao kinachoendelea ni upumbavu
Tunawapenda ndugu zetu bado tunatamani kuwa nao na ndio maana hatutaki kuwapoteza hata Sativa hatamani kufa ndiyo maana badala ya kujeruhiwa na risasi akakimbia nchi kabisa ila eti anawashauri wale waliopona October 29 nao waende tena huku yeye akiwa nje ya nchi 😅🥲 inafurahisha na kuumiza sana
Lissu alirushiwa Risasi na Samia? Mzee mjingaungetolea mfano wa hili basi angalau ungekuwa na uhalali wa kuninyoshea kidole. Kama unahalalisha mauaji ya sasa kwa sababu Magufuli "aliua" sijui unawezejaje. Sikumbuki wakati wowote serikali ya Magufuli ilimwaga risasi mitaani, kubaka na kulawiti watoto wetu, na kurundika miili katika mahospitali. Nasubiri unitafutie angalau kavideo kamoja kama polisi wakati wa Magufuli wakimwaga risasi mitaani hadi kwenye majumba ya watu. Nakaa nasubiria.
Ulitazama ile siku Rais analihutubia Bunge?Walikiri kukosea wapi? Labda miye nilimiss.
Serikali Gani mkuu iliyokiri kuwa imefanya kosa kuwauwa watoto na wazazi wetu, au unaongelea serikali iliyongea na wazee juzi na kujinasibu kuwa ilitumika nguvu nzuri kuwauwa watoto wetu ili kulinda utawala wake?Serikali ina makosa pia na wameshakiri wenyewe wamekosea
Tuwape room ya kujirekebisha na kutenda yale waliyoahidi.Tunachotaka kukifanya sisi ni kumporomoshea matusi mtu unayemdai akiwa amechelewa kurejesha na pesa akiwa bado kaishika mkononi mwake anaweza akaamua kuondoka nayo na asikulipe tena
Hizo habari za dunia kuangalia ndo zinawapoteza vijana kwanini tukariri njia moja tu ya kupambana na hawa madhalimu njia ambayo tumeona madhara yake
Njia ambayo tumeona wanachi wengi hawajaiunga mkono ndo maana tumeona misururu ya watu wakiondoka Dar kwenda vijijini
Kwenda barabarani na jiwe huku mwenzako akiwa na bunduki inaonesha jinsi gani tuna akili finyu
Kushawishiwa na kakikundi cha watu wachache hasa wanafahamika wa chama fulani waliopo nje ya nchi kuingia barabarani halafu wao wakichungulia kwenye computer zao kinachoendelea ni upumbavu
Tunawapenda ndugu zetu bado tunatamani kuwa nao na ndio maana hatutaki kuwapoteza hata Sativa hatamani kufa ndiyo maana badala ya kujeruhiwa na risasi akakimbia nchi kabisa ila eti anawashauri wale waliopona October 29 nao waende tena huku yeye akiwa nje ya nchi 😅🥲 inafurahisha na kuumiza sana
Uko sahihi mkuu.Badala ya kuwalaumu wanaotaka kudai haki yao bila silaha mikononi ulipaswa kuwalaumu wale wenye silaha ambao wako tayari kuzitumia ili wasisikie madai na vilio vya wale ambao kodi zao ndio zimenunua hizo silaha.
Ukifikiria vizuri unaweza kuanza kuelewa ni nani alikuwa muuaji hasa...think about it. Magufuli alisingiziwa tu.Lissu alirushiwa Risasi na Samia? Mzee mjinga
Dunia inawatu wapumbavu hii,kabla ya uchafuzi wenye akili walijitokeza kuiomba serekal haramu ikae na watu tuongee ili nchi isichafuke,saivi nchi ishachafuka unakuja na porojo zako watu waongee,basi tuambie ww hii serekali haramu itakaa na nani iongee nae.Naam