We Dada kama umo humu asante sana

Aaah jamani.......si ulinishukuru ya kutosha.......sasa mpaka huku......
Ukienda huko unakokwenda uniletee pafyumu..........

ah ah ah ah....ungekuwa ww ndio umetoa huo msaada ungeshakuja kutengezaza uzii....
 
Ina dili sana sometimes huwezi kufungua a/c au kudraw hela bila passport

Weee
Benki hizi hizi za tz????

Watz wangapi wenye passport mpaka hicho kiwe kigezo cha lazima???
 
Hivi unajisifiaje hadharani kwa kutokuwa makini kabisa kwenye maisha yako. Hivi dhamana uliyopewa kazini kwako au kwenye biashara yako uanaitendea haki kweli.
 
Mie nilichoelewa, una passport, una account western union,huwa unasafiri nje ya nchi, una gari,
hayo mengine mbwembwe tu maana kama kushukuru ulishamshukuru, ungetaka mengine ungechukua namba yake umshukuru weeeeee mpaka ashukurike.
 
Hivi unajisifiaje hadharani kwa kutokuwa makini kabisa kwenye maisha yako. Hivi dhamana uliyopewa kazini kwako au kwenye biashara yako uanaitendea haki kweli.

Usifikirie hivyo mkuu sisi ni binadamu kusahau huwa kunatokea
 
Mie nilichoelewa, una passport, una account western union,huwa unasafiri nje ya nchi, una gari,
hayo mengine mbwembwe tu maana kama kushukuru ulishamshukuru, ungetaka mengine ungechukua namba yake umshukuru weeeeee mpaka ashukurike.

Ni sahihi kwa uelewa wako kuelewa hivyo ndio maana hatuko sawa.
 
Nazungumzia nje,tz kutambulisho kinatosha

Nilitoa cha kazi hakikukubalika it was either driving licence or passport kwa options nilizokuwa nazo na mimi licence sikuwa nayo karibu
 
Kuna kila dalili ushamtamani, unakoelekea ni kumuomba kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…