Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Roho zetu tumeshaziweka rehani kwa ajili ya uhuru wetu. Ni afadhali nife nikitafuta haki yangu kuliko haki yangu kufa na mimi! Tsunami ijayo wataiweza?Hakuna mahali demokrasi inapofundisha watu wavunj sheria. Demokrasi gani iliyokuwa hakuna Tanzania?
Wamevunja sheria viongozi wa Chadema na hawa Raia masikini ya Mungu wameuliwa kwa kufata mkumbo, leo hii hata Chadema wawe ndio wanaongoza nchi hii, watawasaidia nini hawa raia? au Chadema wana miujiza ipi ya kuwarudishia roho zao hawa raia wanao wadanganya?
Watu kama wewe ni hatari sana katika jamii,huwa mnaandika bila kujuwa wala kufikiri,mradi ukae kwenye keyboard ukandamize utumbo wowote unaokujia kichwani baada ya kupata majani.
Nilisoma kitabu kimoja kikieleza true stori ya mtu mmoja katika nchi fulani ambaye baada ya manyanyaso makubwa ya polisi aliamua kutangaza vita na mapolisi wote regardless ni nani. Na kwa kweli aliwashughulikia kweli kabla ya yeye binafsi ku give up! Nimeelewa kwa nini alichukua maamuzi magumu kama yale, na namtayaarishia tuzo!