We baba huyu uliyemvaa ndiye adui yako.

We baba huyu uliyemvaa ndiye adui yako.

jamni mwenye ndgug yake akikuona umekwisha lol!
 
Jamaa amechoka sana aisee

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hiyo suruali mhhh!!!Haswa pakufungia mkanda!!!
 
Kwa jinsi anavooneka amechoka anaona hata hiyo t shirt aalovaa ujumbe wake haumuhusu ilimradi tu amevaa

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Masikini...ana hasira huyo.

Maskini ya MUNGU; kwa jinsi alivyo kuwa brainwashed, hajui hata kama chanzo cha matatizo yake ni ALIOWAPA JUKUMU LA KUMUWAKILISHA NA WATAWALA WAKE !!!!! Hapo ukimuuliza TATIZO LA UMASIKINI WAKO LINASABABISHWA NA NINI; atakwambia MIPANGO YA MUNGU!!!!
 
laiti angejua....nuksi na mkosi......kwa yeye kuchoka hivyo ni hiyo t-shirt......
 
Duh wana jf mna siasa kali bora 2015 uchanguzi uanzie humu lol

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom