We baba huyu uliyemvaa ndiye adui yako.

We baba huyu uliyemvaa ndiye adui yako.

mbona kama kapinda upande 1??
 
Anasubiri nyingine ya kubadlisha ambayo itapatikana 2015 ambayo itatumika kumshawishi kwa mara nyingine, alafu watu wa vijijini wanajua kuzitunza Tshirt hizi, akija tu huyo aliowapa wanazitinga
 
Anasubiri nyingine ya kubadlisha ambayo itapatikana 2015 ambayo itatumika kumshawishi kwa mara nyingine, alafu watu wa vijijini wanajua kuzitunza Tshirt hizi, akija tu huyo aliowapa wanazitinga

nimempenda sana mwenye namba yake anisaidie
 
Anasubiri nyingine ya kubadlisha ambayo itapatikana 2015 ambayo itatumika kumshawishi kwa mara nyingine, alafu watu wa vijijini wanajua kuzitunza Tshirt hizi, akija tu huyo aliowapa wanazitinga

Dah kweli CCM wanyanyasaji mpaka 2015 ndo utapata mpya ila waanze kutoa na suruali ikibidi na viatu
 
Gama huyu kachoka kwa kg ila anatia huruma hebu mwangalie.
Kamuulize alimpigia nani kura hahah pia kamuelezee kuwa nchi yetu ni tajiri sana duniani in terms za natural resources

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa kesho tu anaipigia CCM kura akiwa katika hali hiyo duni
 
Wewe huoni kachoka kachakaa hana nguo nyingine ni hizo tu sasa afanyaje, ama atembee uchi..................!!:A S embarassed:

Ameweka mkono kiunoni Ha ah aha ha
 
Isingekua CCM, angekua na suruali peke... LOL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom