We are the other people


'The other people' are not connected to God ( one god/goddess in particular) rather they are connected to gods/elohim, according to Genesis at least (Gen 1:26)

Or else you wanted to know the connection between the other people and one particular god/ goddess?
And if so, you have to come up with his/her name, because there are many of them!
 
usitake kumuabudisha jua mwenzako iyo case imeshasolviwa zamani na ibrahim
 
Kanda za humanoids waliumba human homo kama clone za from lyrans and annunaki...pia zipo kanda nyingi zenye clone zao katika bustani mbalimbali ni hatua tu za ujuzi katika uumbaji,hivyo hivyo hata human homo(binadamu) hapo baadae atakuwa na uwezo wa kuclone binadamu mfano wetu na tukampandikiza mahala kama tulivyopandikizwa sisi,pindi human homo anawekwa bustanini(dunia)kama jaribio yalikwisha bita majaribio kadhaa wakadha,ya kiroho,mpka kufikia kimwili ,

Sehemu zote mbili zikiangaliwa kwa mihimili yake bustani ya kiroho na kimwili....nitarudi.....
 

Saw sawa mkuu
 
Mimi hizi ishu hata haziniumizi kichwa, watu wamekuwa wagumu tu kuelewa wakati kila kitu kipo wazi....
Mfano, Cain aliyekuwa amelaaniwa na mungu "yahweh" na akaonekana hafai katika uzao wa Adam, akajiondokea na akaenda zake hata kwa " other people" akaoa huko na akaishi huko. Ukiwaambia watu kuwa kulikuwa na watu wengine utabishiwa hadi kesho, ila ukweli ni dhahili kabisa. Yahweh alishamlaani Cain toka katika uzao wa Adam, je wewe unadhani Yahweh anaweza kumruhusu Cain aoe dada yake? Alete laana nyumbani? Kama ndiyo basi yahweh alileta laana kwa watu wake "wa israeli" na biblia ikaficha si ndiyo! Kama hawezi fanya hivo basi Cain alioa kwa "watu wengine" ambao yahweh hata hana issue nao. Sijui Waafrika tutaamka lini!
Mimi natoka kwa "other people" biblia, yesu blah blah za dini hazinihusu....
 

Buddha aliwai kusema kua kuna vitu vitatu havifichiki "jua, mwezi na ukweli "
 
Unapouliza Cain aliomba asikutane na watu wengine kuwa ni watu gani,kwani baada ya Caini,Adam na Hawa hawakuzaa tena?
'
Je hao hawawezi kuwa "wengine"?[/QUOTE]

Hili swali linatia shaka heshima yako hapa jukwaani .
 
Musk anafanya yake huko Mars NASA pia wapo kwenye tafiti , hope day one litatimia hili na Wafia dini wataelewa , Kuna time nawishi nsikufe niyaone yote .

Anyway natengeneza pesa nkifa nikahifashiwe kule States wanapohifadhi miili ya waliokufa Wakiweza kufufua watu nijionee Yote

 
Aisee Hoja Fikirishi hii
 
Hahah dahh !!! Point taken
 
Yaani yesu ana tuona sisi ni mbwa "!!! Sasa hawa watanzania wa kwa mtogole wanatoa wapi nguvu za kumng'a ng'ania wakati yeye hawataki
 
Tuko pamoja mkuu kabisa
 
Hahaha ..... daah !!!nondo hizi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…