Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 97
I just came up with one. Can you come up with two?
What is it?, mine's are, humane and honesty
Kamanda Mkuu, pamoja na mamlaka makubwa aliyo nayo kikatiba na mandate ya Watanzania asilimia 80%, si lolote si chochote mbele ya MAFISADI - kwa nini ? Jibu - simple, he is one of them ! But wait a minute - hebu sikiliza hii hapa chini !Waziri Chikawe asema Kikwete hawezi kuwabana mafisadi
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe amesema Rais Jakaya Kikwete hana uwezo kutumia mamlaka yake kuwapeleka mahakamani watuhumiwa wa ufisadi kwani hilo ni jukumu la vyombo alivyoviteua kuchunguza na kuchambua nani afikishwe huko baada ya kujiridhisha kwa ushahidi.
- Asema Rostam, Dk Hoseah hawakamatiki
- Asikitika DPP, DK Hoseah kuparuana
"Huu ni utawala wa sheria, Rais Kikwete hawezi kutoa amri za kukamata watu wakati kuna vyombo alivyoviteua kuchunguza na kuchukua hatua." Waziri Chakawe alisema hayo jana alipokuwa katika mahojiano maalumu na gazeti hili ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Alisema kitendo cha baadhi ya Watanzania kumshinikiza Rais Kikwete awafikishe mahakamani watuhumiwa wa ufisadi kinaashiria kuwa wanataka aamuru watuhumiwa hao wapelekwe mahakamani bila kutumia vyombo husika jambo ambalo haliwezekani katika mfumo wa kibepari.
Mwanakijiji, unasema we are simply screwed - what an understatement ! The truth is we are dead - only the dead stay dumb !Wakati Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam imetoa kibali cha maandamano ya kumuunga mkono Rais Jakaya Kikwete na Serikali yake katika mapambano dhidi ya ufisadi, watu kadhaa ambao wamesimama kidete kupinga vitendo vya ufisadi wamepongezwa.
Maandamano hayo yanayoratibiwa na viongozi wa kidini, yatarajiwa kufanyika Jumamosi kuanzia viwanja vya Mnazi Mmoja na kumalizikia pale Kidongo Chekundu ambapo hutuba na tamko la viongozi wa kidini litatolewa rasmi.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, limeyabariki maandamano hayo kwa kutoa kibali katika barua iliyosainiwa na Kaimu Kamanda wa kanda hiyo, ACP Charles Kenyela.
Katika barua yake yenye kumbukumbu namba DSMZ/C.13/4/57 ya Desemba 14 kwenda kwa Kamanda wa Polisi, Ilala, Mkuu wa Upelelezi Dar es Salaam na Mkuu wa Usalama Barabarani, ACP Kenyela ameagiza ulinzi wa kutosha.
"Toeni ulinzi katika maandamano hayo na mkutano huo," sehemu ya barua hiyo inasomeka.
Naye Mratibu wa maandamano hayo, Chifu Husseni Msopa, amesema pamoja na kuishukuru Polisi kuwapa kibali hicho, lakini anawapongeza wale wote waliojitolea katika mapambano dhidi ya ufisadi nchini.
Kwa mujibu wa mratibu huyo, maandamano yao yatakayoanza saa 4:00 asubuhi na yatahutubiwa na watu mbalimbali akiwemo Mchungaji Samson Bulegi, Sheikh Mwaipopo, yeye (Msopa), wanaharakati wa haki za binadamu pamoja na wapambanaji dhidi ya ufisadi na wasomi wa vyuo vikuu nchini.
Mwanakijiji, unasema we are simply screwed - what an understatement ! The truth is we are dead - only the dead stay dumb !
Naungana na Mzee Mwanakijiji
Watanzania we are screwed, tumefanzwa sana na tunaendelea kufanzwa huku tumelala uingizi mpaka watakapojitokeza watu wa calibre ya Dr.Slaa, wakatuamsha usingizini kuwa tunafanzwa, tuamke na wote kwa kaulimoja tuamue kufanzwa sasa basi!.
October 2010 inaangukia usiku wa manane, ni vigumu kuamka usingizini, tusubiri mapambazuko ya 2015!.
I'm sorry to say this but the way things look from where I stand; we are simply screwed individually and as a nation! Or.. we are screwing ourselves.. otherwise, how can we explain the reality that we know too much but we do so little! We expect too much but we push for minimal? We have a lot of plans (short and long), strategies, visions, or whatever have you... but it seems like we have no idea what we really want (or need).
There are just a number of things that have come to me recently (I'll let Enigma inform you before the end of the week) I have come to this somber realization that either we are screwing ourselves, or somebody is screwing us! Either way, we are SCREWED!
kama watu mmechoka kuwa screwed si uchaguzi unakuja mwakani na mwakani wala siyo mbali ni 2 weeks from today....sioni hata watu wakihangaika na kampeni ila naona tuu malalamiko kuwa CCM inawa screw!
Majuzi Waziri Chikawe anaongea kwa kujiamini kabisa kuwa JK hawezi kuwashughulikia mafisadi eti kwa vile utawala wake unazingatia rule of law.At least Prof Shivji hajamkawiza kuonyesha how imbecile Chikawe is.
Angalia hawa wazembe Hoseah na Feleshi wanavyodhalilisha nyadhifa zao na wa huyo aliyewateua.How come watu wenye akili timamu wanaweza kuongea upuuzi wa aina hiyo hadharani?Chikawe anawatetea kwa kudai presha ya waandishi wa habari ndio imepelekea hali hiyo!
.Mkuu Pasco nimekupata sana na tupo ukurasa mmoja tatizo ni kwamba wabongo ni wajinga kiasi kwamba mpaka wale wanaotuamsha usingizini tunawapiga mawe, tunawabeza na hatuwaamini, matokeo yake ni kwamba na wao wanaamua kutu 'screw' zaidi kwa kuamua kuungana na wanaotu'screw'.
Kwa upande mwingine wale wenye uelewa (ambao wangeweza kutukomboa) wanakatishwa tamaa na hali hii na kuamua kuangalia maisha yao na familia zao. Tufanyeje????
that either we are screwing ourselves, or somebody is screwing us! Either way, we are SCREWED!
Until we feel the pain we will continue to be screwed and new screwers are coming next year..
I'm sorry to say this but the way things look from where I stand; we are simply screwed individually and as a nation! Or.. we are screwing ourselves.. otherwise, how can we explain the reality that we know too much but we do so little! We expect too much but we push for minimal? We have a lot of plans (short and long), strategies, visions, or whatever have you... but it seems like we have no idea what we really want (or need).
There are just a number of things that have come to me recently (I'll let Enigma inform you before the end of the week) I have come to this somber realization that either we are screwing ourselves, or somebody is screwing us! Either way, we are SCREWED!