,,We are not your Enemy lets talk" - Tillerson (USA)

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Waziri wa Ulinzi wa USA ameiomba nchi ya Korea Kaskazini wakae chini na waongee, kwamba wao siyo maadui!

Wakati Watanzania tunatishana na kuogopeshana kwamba tusipompa Mzungu Rasilimali zetu basi tutanyolewa bila maji, wengine wanatuambia Mzungu ana Makomandoo kwenye Kampuni zake tutapigwa, hlf tunategemea kuheshimiwa Dunia hii, hlf huyo anayesema hivyo ndiyo anasifiwa kwamba ni intelligent man na anafaa kuwa Raisi wa JMTZ!

Kwa kumbukumbu tu, Nchi ya Korea Kaskazini ina wakazi milioni 25 tu wkt TZ yetu tuko zaidi ya Milioni 45, nchi ya Korea Kaskazini ina km za mraba 120 000 (laki moja na ishirini elfu tu) wakati TZ yetu tuna km za mraba zaidi ya Laki tisa, hapo hapo nchi ya Korea hairuhusiwi kufanya biashara kwa uhuru Duniani, imewekewa vikwazo karibia kila mahali sisi tunaweza kufanya biashara na yoyote yule, Wakorea hawasomi wala hawajui English lkn ni nuclear power sisi tunajifunza Kiingereza maisha yetu yote kwanza hkn kingine tunachofanya Shuleni zaidi ya kujifunza lugha ya Muzungu lkn bado ndiyo Binadamu tunaodharauliwa na Muzungu klk wote!
 
Naunga hoja, hakuna intelligent man mwenye uzalendo anayeweza kusema kuwa nchi yake iwekewe vikwazo ili matakwa yake ya kisiasa yatekelezwe. HATUFAI HUYO na huenda hajui kuwa dunia ya sasa inaongozwa na LAW OF FITNESS(survival for the fittest). Kama Tanzania haitaamuka na kuacha mawazo ya kitumwa bhasi tutazidi kuonewa na kuibiwa na mataifa yaliyoendelea.
 
Wakati ma-intelligent walipoanzisha hoja hiyo bungeni ambayo leo munaikumbatia miaka 10+ iliyopita na mukawatoa nje mulihisi wao ni ma-illiterate?
 
Post zingine hata hazina maana kabisa. Wewe unaweza kumdindia mzungu kisa umeona North Korea anamdindia.!

Wewe ambaye nakisi ktk bajeti yako hadi utembeze bakuli kwa mzungu ndo uipunguze ndo unataka umuige North Korea!

Je unajua kwamba udhaifu wako ktk nyanja zote ndo chanzo cha wewe kujadiliana na huyo unayemwita "Mwizi". Unafikiri ingekuwa ni hao North Korea, wangewaita wafanye majadiliano!

Elewa una mengi ya ku-sacrifice kuja kufikia hata robo ya hao North Korea. Huwezi kuwa kama wao wakati wewe bado eti una watu ambao hata wakifanya uovu eti mnawalinda huku wengine mkiwatoa kafara.

Nyie lazma mtawaliwe tu coz hamjawa wa kujitawala, ni unafiki tu wa kutafuta kicks, nothing.
 
Nani ka kwambia wakorea hawasomi,unadhani hayo ma silaha yanatengenezwa kwa dua?,hata uchawi unasomewa.

Alafu usilinganishe matatizo ya korea na ya kwetu,viongozi wetu walishagawa rasilimali zetu kwa wazungu bila shurti sio sisi raia
 
Back
Top Bottom