๐Ÿ˜ณ We are cooked

Yale maki sio halisi
Mtumbwi ghani wa ivi eti uko kwenye maji na hauja lowa๐Ÿ˜…
Kuna kitu kinaitwa prompt, hapo ndipo uumbaji unapotokea
Ukikosea prompt , matokeo pia yanakuletea hayana uhalisia.
Kwa mimi sikutaka kupoteza muda sana kwenye prompt

Pili kuna tools zingine Flux na Kling na GPT4.
Hizi zote zinahitaji gharama na muda pia.

So ukiyaweza haya hautaweza kabisa kutofautisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ