We Africans, do we always have to learn it the hard way?

Hivi being observant ni learned behavior au mtu anazaliwa hivyo?

Like kila kitu kishatokea kwanini watu wasiangalie wajifunze.

Professor wangu wangu mmoja alikuwa anatuambia kwenye social life ukisoma literature, Bible na saikoloji utakuwa mtu bora sana, Sina hakika na alichosema ila somehow namuelewa.
 
Sijajua nielezeje: Naona kama sisi wa rahisi kuiga mambo mabaya kuliko mazuri 😅

Je mambo mazuri ni magumu na mabaya ni rahisi? I doubt!
 
Sisi ni wanafiki braza, ndio naweza sema ni hulka yetu.
Sisi sio wakweli,
Sisi sio wawajibikaji kwa makosa yetu,
Sisi sio watu tunaokubali makosa,
Sisi sio watu ambao tupo tayari kujishusha,
Sisi ni watu ambao tunapenda kuonekana tupo njema kila sekta,
Sisi sio wapenda kujifunza kulingana na makosa,
Sisi sio watu wa kujifunza kutoka kwa waliotuzidi au tuliowazidi.
Sisi ni watu wa excuses

Sisi..........
Sisi.....
Sisi.....
 
Mara yako ya mwisho kupata funzo ilikuwa ni lini?
 
Katika ukuaji wa binadamu unaakisi mazingira yote aliopitia kuanzia ukuaji wake mpaka kuzeeka kwake,mfano mtoto alikulia kwenye familia ya kishua hela ipo mara nyingi huwa wana maisha malaini ndiyo tunakutana nao huku maofisini ukimsema kidogo tu kwanini anashindwa kuperform basi atalia wee siku nzima anaona kaonewa,lakini wapo waliokulia maisha magumu mfano wa hayati magufuli mazingira yalimjenga kiukomavu so mazingira yanachangia kujenga tabia za mtu hata huko baadae
 
Sisi..😢
 
Being observant ni inate...

Inatokana na attention to detail ambayo unakuta kuna wengine wanakuwa wa mezaliwa nayo.

Sema walio soma hayo masomo wanakuwa na falsafa nyingi ambazo inaweza kuwa raodmap kufanya observation iwe rahisi kwao. Na huwa ni kwa asilimia chache sana.
 
Kuna sister mmoja akimdate mtu ni wa kishua sana so mwanaume akigombana nae basi kesi inaenda kwa mzee jamaa anaitwa ana semwa weee na baba mkwe basi imekua hivyo jamaa imebidi azoee tu hana namna watoto wakushua hao,ila ndiyo maana kuna muhimu wakati wa kuoa chunguza mwenza wako amekua na makuzi gani ili ujue unaenda kuishi na mtu wa aina gani
 
Ukweli ni kwamba waafrika hata evolutionary bado kwenye DNA zetu kuna somesort of dumbness.

Why, kutokana na epigenetics emotional na hormonal information huwa zinakuwa passed down into generations..

Kuna waholanzi sijui! Mababu zao walikumbwa na hunger baada ya kutawaliwa na warusi, vizazi vi3 baada ya hapo walikuwa anazaliwa watoto malnutritioned. Na enzi hizo waholanzi walishakuwa huru..

We are still having, slavery mindset from our ancestors.. Maana angalia waafrika walivyo hopeless hata mazingira tu yanayo wazunguka yalivyo?

Na mazingira humdefine mtu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…