WCW: Thamani na Nguvu ya Mwanamke

This needs restructuring, Na debate na kufikia muafaka , kama tunavyodai katiba mpya, Taasisi ya familia /ndoa inahitaji restructuring
 
This needs restructuring, Na debate na kufikia muafaka , kama tunavyodai katiba mpya, Taasisi ya familia /ndoa inahitaji restructuring
Kwanini Taasisi ya Familia Inahitaji Restructuring?
Mfumo wa sasa wa familia unaotumika mara nyingi umejengwa juu ya misingi ya zamani (agrarian/industrial era assumptions), wakati maisha ya leo yanaendeshwa na mfumo tofauti kabisa wa kijamii na kiuchumi:

Mabadiliko ya Majukumu ya Kiuchumi: Zamani mfumo ulikuwa unategemea mtafutaji mmoja (breadwinner) na msimamizi wa nyumba (homemaker). Leo, mwanamke na mwanaume wote wako kwenye soko la ajira/biashara. Hata hivyo, expectations za majukumu ya nyumbani na maamuzi bado zimebaki za karne iliyopita.
 
Hakika ndo misingi ya nature hiyoo

Ila swala selfish woman hilo lazima kama mwanaume usilifumbie macho lazima awe accountable kutoa kile anapaswa kuto hasa hasa kui nurture familia..

Ukiona ana kunynya hapo unapaswa uwe beast, usimdhuru maana we are more powerful hawa wako fragile, akidhurika sio physically bali ni emotional pia.. Na anaweza kisambaza hayo maumivu kwa wanao pia

Ni kuhold accountable tu
 
Unajua nini…. Mwanaume akikupenda wala sio mtu mbaya. Kinyume chake hapo… We have seen what they are capable of doing.

Bandiko zuri, i hate when people don’t acknowledge each other.

Kuna mjadala nilifuatilia mahali kuhusu wanawake na kuzaa, Wanaume “baadhi “ walikuwa wanacomment hivi… viumbe vyote vya kike vinazaa, what’s a big deal kuhusu mwanamke kuzaa? Uwiii niliogopaaa! 😔

Like kuzaa ni karibu na uumbaji, how can someone be-little this experience?
 
Hiyo ni programming

Lakini pia wanawake wanapenda kuona kisa wao wanazaa basi wanaume ni viumbe vilivyo pendelewa kumbe anakazi kubwa sana ya provision and protection

Hao wanaojibu hivyo mara nyingi huwa wako ego centered.

Binafsi huwa nikifikiria the whole process hata kama nilikuwa namchukia mwanamke kwa sababu ya tabia nitaiweka pembeni kwa muda
 
Empathetic traits ndani yako bado haijafa no matter what life throws at you.
 
Yes mkuu.
 
Ukijiheshimu utaheshimiwa. Simple tuu.

Unapovuka mipaka dunia haitasita kukunyorosha na kukuweka kwenye laini au kukuangamiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…