WCB wachia wimbo wa Kwangwaru

WCB wachia wimbo wa Kwangwaru

Dzain km kwenye kideo diamond kamfunika mwenye nyimbo thijapenda ataaa
 
Chama kubwa la WCB Leo wameachia wimbo bora wa Kwangwaru wa kijana Chinga boy aliomshirikisha boss wake Diamond saa 10 jioni hii kupitia TV yao wa Wasafi.

Nyota yake Harmonize inazidi kung'aa. Kichupa hicho kitapandishwa hewani YouTube ifikapo jioni ya leo saa 12. Heko kwenu vijana wa WCB.

Tupo busy na Nandy tunakagua vyupi vyake
 
Back
Top Bottom