GadoTz
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 350
- 569
Kwa nchi zilizoendelea kimuziki moja ya vipimo vya mafanikio ya msanii ni ziara 'tour'. Msanii awezi kupata heshima kwa wenzetu kama hafanyi tour ya muziki wake.
Kwa muziki wetu kwa muda mrefu baada ya kupotea kwa makundi na wasanii wenye nguvu mtaani tour zimekauka. Nakumbuka tour za Juma Nature na Wanaume Family, Prof Jay na Saida Karoli bila kusahau za Bongo Record.
Kwa sasa naamini watu wanaoweza kufanya tour yenye nguvu ni label ya Wasafi. Sababu wana fan base kubwa na wako kwenye kukubalika sana mtaani. Tunategemea mapinduzi kwenye tour ya WCB na kuweka history nyingine. Diamond, Rich mavoko, harmonize na Raymond wanaweza kushambulia jukwaa mpaka watu wakakimbia. Tour za Fiesta na Kili haitoshi tunataka WCB tour.