Wazuri Wanatesa Sana

wakiringa saana wanaishia kugongwa na kuachwa, matokeo yake umri unaenda wanatahamaki kumekucha anaanza safari za kwenda kwa waganga mara akatolewe mkosi mara dawa za mvuto wa mapenzi ikishindikana anaokoka sasa Bwana Yesu asifiwe zinakuwa nyingi na umri ndo umekwenda hvyooo
 
Aisee agiza juisi ya miambili nakuja kulipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…