imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,436
Huwa zina rechargable battery kwa ajili ya vibrationHivi huwa zinakuwa na joto tamu kama la meat kwa meat kweli!
Huwa zina rechargable battery kwa ajili ya vibrationHivi huwa zinakuwa na joto tamu kama la meat kwa meat kweli!
True mwanaume ni mwanaume tu,isitoshe sperms ni dawa kwa mwanamke,inaondoa stress,inang'arisha ngozi nk.utofauti upo mkubwa tu
ha haha hayaTrue mwanaume ni mwanaume tu,isitoshe sperms ni dawa kwa mwanamke,inaondoa stress,inang'arisha ngozi nk.
heeee! makubwa hayo. Aisee zimekaa kama uume wa ukweli! mhhh! kwa hiyo zinatumia umeme sasa kama huna umeme hakuna sehemu ya kuweka betri?Huwa zina rechargable battery kwa ajili ya vibration View attachment 442030
ahahaaa tutumie toy na madk tuwaachie kina nani?Hivi huwa zinakuwa na joto tamu kama la meat kwa meat kweli!
serikali ipo kwa ajili ya wananchi wake kwahiyo usitake kuleta ujinga wako.Yaani serikali iache kujenga shule, hospitali, barabara, kukamata mafisadi na majizi ikapambane na toys?
TBS nadhani wanazitambua hizo bidhaa ama zimeingia kimagendo.Yawezekana ina madhara hiyo kitu cha msingi ni TBS kuipitia.
nini tena?Wee...
izo ndizo zinazochochea maambukizi ya HIV/AIDS kwan kwa wengi wakitumia haiwakidhi haja zao bali kuwachizisha zaidi na kuwafanya wasikumbuke ukimwi tena hivyo anayekuja twendee!ndiyo nzuri inaepusha maambukizi ya ukimwi.
teh teh teh
Powerbank tu.heeee! makubwa hayo. Aisee zimekaa kama uume wa ukweli! mhhh! kwa hiyo zinatumia umeme sasa kama huna umeme hakuna sehemu ya kuweka betri?
Ishauri serekali iruhusu ili madume suruali.vp kiongozi kuchoki kuhonga?hahahaDunia kweli imeisha naamini hilo jana mida ya saa 8:30 maeneo nayofanyakazi(banda la ngozi) pale kaja jamaa na toy ambayo zinatumika kaufanyia masterbution.
ila kwa mara ya kwanza sikuijua nini baadae mshakaji ndiyo akatuelezea matumizi yake kwa kweli nimepatwa na butwaa .
nachukua fursa hii kuiomba serikali kupiga marufuku huu upumbavu kabla haujaenea coz maadili yanazidi kumomonyoka.
*wasalaaam*
usipanic broo..........washauri na wenzako waache punyeto....izo ndizo zinazochochea maambukizi ya HIV/AIDS kwan kwa wengi wakitumia haiwakidhi haja zao bali kuwachizisha zaidi na kuwafanya wasikumbuke ukimwi tena hivyo anayekuja twendee!
kwann tusirejee ktk maumbile halali Mungu aliyetujaalia;!
Oleweni acheni upuuzi!
naweza pata wapi hizi mi mwenyewe natakaDunia kweli imeisha naamini hilo jana mida ya saa 8:30 maeneo nayofanyakazi(banda la ngozi) pale kaja jamaa na toy ambayo zinatumika kaufanyia masterbution.
ila kwa mara ya kwanza sikuijua nini baadae mshakaji ndiyo akatuelezea matumizi yake kwa kweli nimepatwa na butwaa .
nachukua fursa hii kuiomba serikali kupiga marufuku huu upumbavu kabla haujaenea coz maadili yanazidi kumomonyoka.
*wasalaaam*
1.Unafikiri hayo matoi ndo yanasababisha punyeto? au yasipo kuwapo pia punyeto haitakuwapo? Kuna madhara ya jumla kwa jamii na madhara ya mtu moja mmoja.Dunia kweli imeisha naamini hilo jana mida ya saa 8:30 maeneo nayofanyakazi(banda la ngozi) pale kaja jamaa na toy ambayo zinatumika kaufanyia masterbution.