Wazungu wanawaharibu dada, mama zetu

Wazungu wanawaharibu dada, mama zetu

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,679
Reaction score
5,165
Dunia kweli imeisha naamini hilo jana mida ya saa 8:30 maeneo ninayofanya kazi (banda la ngozi) pale kaja jamaa na toy ambayo zinatumika kufanyia masturbation.

Ila kwa mara ya kwanza sikuijua nini baadae mshakaji ndiyo akatuelezea matumizi yake kwa kweli nimepatwa na butwaa.

Nachukua fursa hii kuiomba serikali kupiga marufuku huu upumbavu kabla haujaenea coz maadili yanazidi kumomonyoka.

Wasalaam!
 
Ndugu fanya yako na familia yako. Dunia hii kwa sasa ni kichefuchefu.
 
Tatizo lenu mnashughulika na mambo ya kijinga ndio maana mnakereka.
Wewe Shughulika na yenye manufaa kwako yasiyo na manufaa puuzia.

Tuko katika dunia ambayo ukiujua Ukweli zaidi utaumia.

Acha Serikali ishughulikie mambo mengine ya msingi.

Ndio utandawazi wenyewe.
 
Wala Serikali hairuhusu vitu hivyo,ila jamii wenyewe ndiyo inayatafuta yote hayo,na hayo ni matatizo yanayotokana na issue ya mahusiano na wengi kuathirika kisaikolojia.

Hapo wenyewe kazi kubwa ni Wazazi,Viongozi wa jadi,Viongozi wa Dini,Walimu mashuleni na vyuoni ktk kukumbushana maadili kwa familia na jamii.

Serikali ina mambo mengi ya msingi inahangaika nayo kuyatekeleza mambo mengine ni Mimi na wewe ktk kuyakataa kuingia ktk jamii zetu.
 
Tatizo lenu mnashughulika na mambo ya kijinga ndio maana mnakereka.
Wewe Shughulika na yenye manufaa kwako yasiyo na manufaa puuzia.

Tuko katika dunia ambayo ukiujua Ukweli zaidi utaumia.

Acha Serikali ishughulikie mambo mengine ya msingi.

Ndio utandawazi wenyewe.
tatizo maadaili kaka alaf itafika kipindi mtu kuzaa ataona kazi kwa sababu ya athar ya haya maplastic
 
hichi kitu kinaonesha kuna madhara makubwa naweza kusema machache ni kama kkuharibu kizazi,kupotenza hamu ya kufanya mapenzi na mwanaume,kudumaza akili n.k hvo serikali naomba chonde waangalie hili ni janga nalo.
 
Lakini hazifikii kitu kamili,zenyewe zinadhibiti sehemu mmoja tu wakati mimi ntacheza na titi shingo halafu nazama chumvini ndio naanza kazi ya njendani.
Hivi huwa zinakuwa na joto tamu kama la meat kwa meat kweli!
 
Mbona husemi wanaumwe wakatwe mikono kwa kuitumia kupiga puli.

Mambo ya faragha ya mtu yanakuhusu nini wewe kama anatumia mkono, tango au dildo au strappon, shoga, lesbian, transsexual, omnisexual ni yeye sio jukumu lako.

Halafu sio kila kitu wazungu hayo ni maamuzi ya mtu binafsi mzungu hanunulii hao watumiaji hivyo vifaa wala kuwalazimisha kutumia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom