Wazungu wanawaharibu dada, mama zetu

Wazungu wanawaharibu dada, mama zetu

izo ndizo zinazochochea maambukizi ya HIV/AIDS kwan kwa wengi wakitumia haiwakidhi haja zao bali kuwachizisha zaidi na kuwafanya wasikumbuke ukimwi tena hivyo anayekuja twendee!
kwann tusirejee ktk maumbile halali Mungu aliyetujaalia;!
Oleweni acheni upuuzi!
Nani alikuambia hazikidhi haja
 
Dunia kweli imeisha naamini hilo jana mida ya saa 8:30 maeneo ninayofanya kazi (banda la ngozi) pale kaja jamaa na toy ambayo zinatumika kufanyia masturbation.

Ila kwa mara ya kwanza sikuijua nini baadae mshakaji ndiyo akatuelezea matumizi yake kwa kweli nimepatwa na butwaa.

Nachukua fursa hii kuiomba serikali kupiga marufuku huu upumbavu kabla haujaenea coz maadili yanazidi kumomonyoka.

Wasalaam!
KUIOMBA SERIKALI GANI?

SIDHANI KAMA KUNA ANAYEKUSIKIA ILA NADHANI WEWE NDO UNATAKIWA UISIKIE SERIKALI
 
Mi pia natafta dildo nijiselfie mim ctak preshaaa
a15c12c166ae1dd3ce9d81befffa0b6e.jpg
 
Loh! Binaadam hamna shukrani nyie? Wazungu wamewaletea mbadala wa wanaowaomba hela na bado mnalalamika, sasa mnatakaje
 
Sasa si bora utumie kifaa maalum kilichotengenezwa na mzungu kuliko kutumia kifaa asili (tango au ndizi) , ikikatikia ndani je.
 
Walituletea dini zao tukapokea, wakatuletea mila & tamaduni zao tukapokea, wametuletea madawa tuwe na rangi kama wao nasi tumepokea, sasa hata hiyo michezo yao michafu waacheni walete tutapokea tu [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Weka picha ili na sisi tuyajue
 
may be kilio changu kitaweza kufika mbali.
mbali wapi? hakiendi popote. we unategemea say makonda anaweza kukusikiliza kilio chako? jibu ni no...anataka wewe usikilize amri zake
 
hichi kitu ni moja ya tatizo ambalo litapelekea kuongezeka kwa mashoga hatuna budi kupiga vita.
 
Dunia kweli imeisha naamini hilo jana mida ya saa 8:30 maeneo ninayofanya kazi (banda la ngozi) pale kaja jamaa na toy ambayo zinatumika kufanyia masturbation.

Ila kwa mara ya kwanza sikuijua nini baadae mshakaji ndiyo akatuelezea matumizi yake kwa kweli nimepatwa na butwaa.

Nachukua fursa hii kuiomba serikali kupiga marufuku huu upumbavu kabla haujaenea coz maadili yanazidi kumomonyoka.

Wasalaam!
Too late mkuu wanazo za kila rangi
 
Mbona halina tatizo?! Kama wanaume wanajiselfie na sabauni serikali ipite kukagua matumizi ya sabuni majumbani?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom