Maria Nyamhanga
Senior Member
- Jun 14, 2011
- 130
- 25
Nimesikia kutoka kwa waliooa au kuolewa na wazungu kuwa ni watu makini kwa familia zao, na huwapenda kwa dhati wake au waume zao. Pia hawa cheat kama wabongo..na kama hakupendi hata kama ni mkewe anakuambia hili ni kweli? na kama nikweli sisi wabongo kwanini tusijifunze?