Wazungu wanatuibia nini?

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
398
1,398
Kila siku najiuliza kwanini tunapenda kuwalaumu western countries hasa USA wakati wezi ni wa Hindi, waChina, Wa Arab.

Nchi za ki Africa zimejaa wa Hindi, waChina na wa Arab.

Huwezi kuona sana Wazungu wakiwekeza Africa. Wazungu wamewekeza Asia, Latin America lakini Sisi kila siku tunasema wazungu wanatuibia
 
Hakuna anayetuibia, kama kuibiwa tunaibiana wenyewe, wanaosain mikataba ya ovyo ni sisi wenyewe,

Hakuna mtu atakuja kukuibia home kwako
 
Mchawi wetu wa kwanza ni sisi wenyewe, viongozi wetu ndio wanafanya sisi tuibiwe.

Viongozi kwenye deals zoote wao wanaweka maslahi yao mwanzo kisha nchi itafata, haijalishi taifa litapoteza nini, wao wakipata inatosha.

Hayo mataifa mengine sio kwamba viongozi hawapigi, ika taifa liko mbele, kwanza taifa lioate kisha yeye ndio apige kiasi kidogo.
 
Mkuu tabia ni kama ngozi,waafrika na waarabu ni jamii za hovyo sana,kazi kulaumu wengine kwa makosa Yao.
 
Back
Top Bottom