Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
Hata kama hawa watu tunao huku kwetu lakini serikali iweke ngumu hivyo hivyo.Hatutaki aibu sisi. Baba zima eti limevaa skuna.
Uncle Magu kaza hivyo hivyo,hatutaki ujinga sisi.
Huyo mwanaume yupo kitaa mkuu..Anadunda fresh. Sio putin ila km wamefanana flan hv. Kuna mtoto wa msanii flani wa kike US nimemsahau jina,baba yake ndo mapigo yake hayoHyo kama edit vile naona kama ni putin
ata mimi namuona kama putinHyo kama edit vile naona kama ni putin
Huyo mwanaume yupo kitaa mkuu..Anadunda fresh. Sio putin ila km wamefanana flan hv. Kuna mtoto wa msanii flani wa kike US nimemsahau jina,baba yake ndo mapigo yake hayo
Hii picha haiko sawa, mleta maada anataka kutuingiza chakaNi kweli kuwa mmeshindwa kuielewa picha hii ya uongo? Hiyo miguu ni ya mwanamke! Itazameni tena.