Wazungu wamfanyia dhihaka Pinda...

Wazungu wamfanyia dhihaka Pinda...

Ukana Shilungo

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
3,041
Reaction score
2,423
attachment.php

Naomba maoni hakuna jazba, taratibu za kupiga picha na wake za viongozi wakuu wa nchi inakuwa zero distance, au kubanana namna hiyo? Kila upande kushoto na kulia?
 
Attachments

  • aibu.jpg
    aibu.jpg
    45.7 KB · Views: 1,084
Hivi hivi mke wa rais mstaafu zanzibar salmin amour alitoroshwa na bodyguard wa gaddaf libya!
 
Hivi hivi mke wa rais mstaafu zanzibar salmin amour alitoroshwa na bodyguard wa gaddaf libya!

Hebu lete raha ilikuwaje first lady wa zanzibar akatoroshwa na mlinzi wa rais? Ni yule mchagga au yule mnyamwezi ?
 
Backward societies are almost always overindulgent in an unjustifiably overzealous quest for chastity.
Nay Kiranga, come down to earth...this borders on lollapalooza! A dining room table would have better sense.
 
attachment.php

Naomba maoni hakuna jazba, taratibu za kupiga picha na wake za viongozi wakuu wa nchi inakuwa zero distance, au kubanana namna hiyo? Kila upande kushoto na kulia?

Mbona hamfikii Jo Mshubusi na Rose? Au vipi?
 
Hawamwogopi mzee wa Liwalo na liwe,jamaa anagonga vichwa kondoo kasingiziwa
 
Back
Top Bottom