Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Mungu atunusuru kweli kulea mtoto wa kiume ni kazi ngumu kuliko wa kke
Mijadala iliyotawala wiki hii kuhusu ushoga ni wazi sasa ushoga unafanywa kama kitu cha kawaida
 
 
.
Your browser is not able to display this video.
 
Ha ha ha watoto wa watu hao mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe adhabu yako ni nini kwa unayoyafanya !!..

Kwamba una moral authority ya kuhukumu wengine!!..

unaweza toa maoni bila kujivika utakatifu.
 

Dah hali inasikitisha mara moja tupo São paulo na jamaa yangu kutoka Kenya tukafuatwa na shoga akitangaza biashara dah kusema kweli wenzetu hawa wana hali mbaya ni kitu cha kawaida wao kufanya ushoga tumuombe sana Mungu aiseee


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hili jambo linasikitisha sana.....hiyo ni laana kabisa.

Ila kuna watu wanasikitika hapa ndiyo wateja wao wakuu,maana kila mmoja wetu akisimama na kupinga hawatadumu
 
[emoji848][emoji87][emoji87][emoji44][emoji44][emoji15]
Jr[emoji769]
 
Uwa nawaza sana kuhusu kushirikiana na watu hili tuanzishe kupinga mapenzi ya jinsia moja,ila bado nipo katika mchakato natumaini tutafanikiwa katika hili.
 
Hahahahahahahahhhahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiyaiya kuolewa.. Atarudi nyumbani kutembea

Jr[emoji769]
 
Watoto wetu wa kiume wanaona hii ni fasheni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…