Conflicting statements, hupendi wanaume wanaojipamba kama wanawake the same time huna tatizo na mashoga, wewe ni shoga full stop. Mtunze tu mumeo.mtakufa kwa presha kufwatilia mambo ya watu... by the way sipendi mwanaume kujipamba kama mwanamke. but i have no problem with homosexuallity.
Ikatokea mtoto wako wakiume kawa shoga kwa hiari yake tu utachukuliaje? Ndio tigo ni yake sawaHahahaa...kaazi kweli kweli.
I mean, watu wanafanya ushoga kwa hiari yao halafu wa kulaumiwa wanakuwa wazungu.
Halafu, mtu kama kaamua kwa hiari yake kuwa shoga....kwa nini wengine wahemuke?
Wanawaonea wivu hao mashoga au? Wanatamani wao ndo wangekuwa wanaliwa tigo?
Sioni kwa nini nijishughulishe na mapenzi ya mwingine kuliwa tigo.
Tigo ni yake, maisha ni yake, uamuzi ni wake.
Tatizo liko wapi?
Na wa wenzangu awalee piaKwanini akulelee mwanao tu? Na wana wa wenzio je?
Ikatokea mtoto wako wakiume kawa shoga kwa hiari yake tu utachukuliaje? Ndio tigo ni yake sawa
Duh Unamambo yakizungu mkuuSitawalaumu wazungu na ntamwacha aishi maisha yake.
Ila ni adhabu Kali kwa mwanaume lijali ..Tatizo humu kidogo watu wakigombana. Utaona mtu anamwambie mwenzio nitakutatua marinda. Imeonekana kama fashion. Ni ujinga sana
Me namawazo mpaka basi sijui kuna king'amuzi cha watoto tu na mi mzazi niwe naangalia nao huku nikimfundisha kwa upole kuliko dunia kumchanganya .. Mungu atusaidie kwa kweliInasikitisha sana hasa tulip na watoto wadogo. Natafakari sijui niiharibu TV ili wasiwe wanaona baadhi ya move za ajabu au niwapeleke wakakae parokiani kwa mapadri na masister. Mapadri nao baadhi si waadirifu. Duhh mungu wewe ndo mwamuzi.
Duh Unamambo yakizungu mkuu
Duh! Ila kuna njemba zinamoyo, yan unambinua man mwenzio na unaziona kengele zikining'inia still unapiga show aisee!
Shame on youyou always put your blames on white men, why?
kuna mzungu aliyewalazimisha mfanye/wafanye hivyo?
kila binadamu ana utashi.
so if you choose to imitate something usimlaumu mwingine.
Acha kulalama na uache huo ujinga. Kwani nani kakuambia anataka kukuchagulia mke/mume? Kinachohitajika ni chaguo sahihi and that is opposite sex and not some madness you are trying to justify. Do this and nobody will ever bother you.Wewe umempenda unaempenda bila kuchaguliwa na kuonewA , kwa nini wewe unataka umchagulie mwenzako wa kumpenda. Acha hizo jomba. Ishi maisha yako acha kuingilia wenzako
should flushed out of our society wewe ni nani?
ulikuja na society hapa duniani?
au kuna mtu ulizaliwa nae?
eti our society?
una hati miliki ya society wewe?
au wewe ni chief fulani unaye-control maisha ya watu.
akili kama hizi ndio mana mmeshindwa kuwatoa mafisadi maCCM madarakani.
You can't be a G..mtakufa kwa presha kufwatilia mambo ya watu... by the way sipendi mwanaume kujipamba kama mwanamke. but i have no problem with homosexuallity.
Acha kulalama na uache huo ujinga. Kwani nani kakuambia anataka kukuchagulia mke/mume? Kinachohitajika ni chaguo sahihi and that is opposite sex and not some madness you are trying to justify. Do this and nobody will ever bother you.