mbinu ile ile anayotmia mzazi ya kumfundisha mtoto kwa kuongea naye hata kama mtoto haelewi mpaka mtoto anaanza kuelewa kwa vitendo baadaye maneno na baadaye kuunganisha sentensi ni hivyo hivyo ndio tulikuwa tunafundishwa na wazungu lugha zaoMtoto anafundishwa na Wazazi wake, sasa sisi Wazazi wetu hawakuwa Wazungu!
mbinu ile ile anayotmia mzazi ya kumfundisha mtoto kwa kuongea naye hata kama mtoto haelewi mpaka mtoto anaanza kuelewa kwa vitendo baadaye maneno na baadaye kuunganisha sentensi ni hivyo hivyo ndio tulikuwa tunafundishwa na wazungu lugha zao
tukiwa wakubwa hivi hivi.mimi nilikuwa nafanyakazi na wazungu Fulani tulikuwa kijinini ambako kiingereza hakuna kabisa basi wale wazungu wakaajiri wapishi na wafanyakazi wa bustani ambao hata neon moja la kiingereza walikuwa hawajui na wazungu walikuwa wanajua jambo tu.Wazungu wakawa wanawasiliana kwa vitendo kwa hao wapishi na baada kama ya mwaka wale wapishi walikuwa wazuri sana kwa kiingereza.Kiingerza wanachoongea kwasasa kuna wanachuo hawawezi.mimi ni shuhuda kwani najua kuanzia mwanzo walipokuja.Wazungu wao muda wote ilikuwa ni kuongea kiingerza tu na hao wafanyakazi na wazungu nao mpaka leo Kiswahili hawajui ila waswahili English safi kabisaUnamaanisha wakati bado tuko watoto?
tukiwa wakubwa hivi hivi.mimi nilikuwa nafanyakazi na wazungu Fulani tulikuwa kijinini ambako kiingereza hakuna kabisa basi wale wazungu wakaajiri wapishi na wafanyakazi wa bustani ambao hata neon moja la kiingereza walikuwa hawajui na wazungu walikuwa wanajua jambo tu.Wazungu wakawa wanawasiliana kwa vitendo kwa hao wapishi na baada kama ya mwaka wale wapishi walikuwa wazuri sana kwa kiingereza.Kiingerza wanachoongea kwasasa kuna wanachuo hawawezi.mimi ni shuhuda kwani najua kuanzia mwanzo walipokuja.Wazungu wao muda wote ilikuwa ni kuongea kiingerza tu na hao wafanyakazi na wazungu nao mpaka leo Kiswahili hawajui ila waswahili English safi kabisa
Kumbe ndivyo ilivyokuaMkuu nadhani ulipaswa kujiuliza sisi Waafrika tulijifundishaje lugha yao na sio wao walitufundishaje, enzi za Ukoloni hakukuwa na kauli ya kumbembeleza mtu.. Mzungu anaposema "come here" kama hujaelewa ujue utachezea viboko vya kutosha, kesho akisema tena "come here" lazima utaelewa anataka ufanye nini?
Jaribu kutazama movie inaitwa Roots ambayo inaonyesha uhalisia wa mambo yalivyokuwa, mhusika mkuu aliitwa Kunta Kinte na Wazungu walitaka atumie jina la Thobias.. akiulizwa jina anasema Kunta Kinte anachezea viboko alafu anaulizwa tena...
Kuna mbogo wanaosoma?Ukishajua kuwa wale jamaa wana akili zaidi yetu wachoma mkaa (blacks) wala huwezi jiuliza swali kama hill.
Leo hii mbongo anaanza kusoma kiingereza toka form one had master's au PhD lakini hata matumizi ya "a", " an"; "at" au "in" hajui kutunga sentensi ndo usiseme hali mzungu anajifunza kiswahili kwa wiki 4 tu na anaongea
HahahahahaNa mimi ujiliza sana hilo swali bila majibu.Wale waafrika wa kwanza kufundishwa waliwezaje kujua hiyo lugha wakati mimi hadi chuo kikuu bado hiyo lugha ni mgogoro.
Ndio hivyo mkuu, tulijifunza lugha zao kwa lazima ili kuepuka maumivu na kupata zawadiKumbe ndivyo ilivyokua
Fimbo ilihusika kwa 100%Binafsi huwa nastaajabu sana ninapoona Mwafrika akiongea lugha za Kizungu, iwe Kireno, Kifaransa au Kiingereza!
Swali ambalo hunijia kichwani waliwezaje kutufundisha Kiingereza? Walitumia mbinu gani?
Ukitaka kupata ukaribu labda wa ninachomaanisha, fikiria leo hii uende kwa Wahandzabe halafu uanze kuwafundisha Kifaransa, unaanzaje?
Izingatiwe kwamba ni rahisi kwa Mnyakyusa kujua Kiswahili kwani ni Mbantu hivyo ni lugha ya Familia moja au ni rahisi Mtanzania kujifunza Kizulu, lkn Kiingereza au Kifaransa ni Dunia nyingine kabisa, sasa walitumia mbinu gani mpaka leo tunaongea Kiingereza?
Fimbo mjomba zilitembezwa mpaka wakaelewaYa Kiarabu pia nimesahau tu kukiweka, lkn hatuongei Kiarabu na Waafrika wanaongea Kiarabu kama Wasomali lugha yao ni jamii moja na Kiarabu hivyo haishangazi, lkn Mgogo na Kiingereza? Walitumia mbinu gani?