Wazungu wabeza kuzama kwa kivuko

Wazungu wabeza kuzama kwa kivuko

Mwenzangu aliwahi kuniambia kuwa maji hayafanyiwi majaribio
 
Sasa hapo hao wazungu wawili wamebeza kuzama kwa meli au waafrika kushindwa kujiokoa kwa kuogelea?

Plus hayo mawazo ya watu wawili kuyafanya ni mawazo ya wazungu wote is totally disturbing
 
Sio Russian Television ni Russia today.

Warusi ni wazungu pure.
Labda waturuki ndio wapo kati katibya wazungu na waarabu.
 
hii conclusion yako ni ya kitoto sana. mi nlidhani watu wenye akili timamu wameongelea hilo kumbe maoni tu ya mtu binafsi kwenye page ndo unapata conclusion wazungu wamebeza? nyie wengine shule huwa mnajifunza nini? a merely somebody and you generalize because of those two people?which is also a joke? inaingia akilini kweli kuna watu wanaishi pembezoni mwa ziwa victoria, nyasa,tanganyika, etc wasijue kuogelea? maoni ya mtu mmoja mmoja ambaye si lolote si chochote unasema "wamebeza" nlidhani ni watu flani wanaoongea kwa niaba ya wengine wengi nyuma yao. mjaribu kukua jamani.mnatukatisha tamaa sana sisi wengine kwa style hii. kesho na keshokutwa unaweza kuja kuwa mke wa mtoto wangu kwa reasoning kama hii kweli nitakuwa na mkwe hapo?
Ukishakuwa na sample si ndio ina conclude population mzee
 
Aiseeeee.... Ndo uka conclude vile?anyway....kwa miaka hii sishangai sana ndugu yangu.tuna kazi kubwa sana. Haya all the best mtaalam.
Maana jamaa alipata likes za kutosha tu. Kwahiyo hao pia nimewaweka kwenye findings zangu
 
Aiseeeee.... Ndo uka conclude vile?anyway....kwa miaka hii sishangai sana ndugu yangu.tuna kazi kubwa sana. Haya all the best mtaalam.
Gudume Shalom,
Kutokana hii ajali inaonekana watu wengi hawajui kuogelea, japo wanaishi pembezoni mwa ziwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom