Ni vigumu sana kulaumu mashambulizi ya Ufaransa yaliyofanywa na ISIS kabla ya kufahamu kisa cha kufanywa mashambulizi hayo.
Nchi za wazungu zilijengwa, zinajengwa na zitaendelea kujengwa na rasilimali za dhuluma kutoka Afrika, Asia, India, na Latin Amerika. Unataka hutaki watachukua tu. Kwa hila wamesimika watawala kwenye nchi za mabara hayo ambao wanashirikiana na wazungu hao kupora mali hizo zinazokwenda kuneemesha na kuboresha maisha ya wazungu. Wazawa wa nchi hizo wanashindwa kuwaondoa viongozi wao vibaraka wa wazungu kwa njia ya kura wala silaha kutokana na kulindwa kwa nguvu kubwa na wakoloni hao. Wananchi watakaojaribu kuonyesha dalili za kutaka kuwaondoa vibaraka wao watanyeshewa na mvua za mabomu na silaha za kisasa kabisa za wazungu na kusababisha uharibifu mkubwa na mauaji ya maelufu ya watu bila kujali kazi, umri wala jinsia zao. Damu inanuka kila kona za mataifa hayo kutokana na risasi za wazungu walafi.
Bahati nzuri Waarabu sio kama Waafrika, huwa hawakubali kufia uvunguni mwa vitanda vyao, watarusha hata mawe upande walipo wazungu hao, na hicho ndicho kilichotokea Ufaransa hivi karibuni. Waarabu na Waafrika wakiuawa 200,000 kwa pamoja na wazungu sio habari hata UN, lakini wazungu wakifa 100 kwa pamoja kwa kurushiwa mawe na waarabu au waafrika ni habari dunia nzima.
Ondokeni Uarabuni ili tuone hali ya mauaji ya wazungu itakuwaje. Itapungua au itaongezeka?