Yaani pamoja na kelele zoote za ufisadi na ufujaji mali ndani ya Tanzania bado wanaendelea tu kumwaga mipesa Tanzania?
Ndo kusema wanaona raha kulisha mafisadi au wananchi wa nchi zao hawana shinda kabisa hadi wapoteze hela kiasi hiki?
SERIKALI ya Uingereza itaipatia Tanzania Sh1.5trilioni kuisaidia kutekeleza Mpango Malengo ya Maendeleo ya Milenia (MDGs) na kupunguza umasikini.
Uingereza yaipa Tanzania Sh.1.5trilioni
Nami anakwambia wanakupa bure..... wanapata 100 times.... ROI.
Hivi nyie jamani ni watu wa aina gani? Hamtaki hata nchi yenu ipewe msaada? Kwa namna hii napata wasi wasi na ubinafsi wenu na chadema yenu kuwa hamuitakii mema nchi zaidi ya maslah yenu tu. Na kwa sababu hiyo basi niko tayari kupambana ktk vita dhidi ya chadema ingawa mimi si ccm.
for those of you who are not familiar with accountancy and finance..ROI is an abbrev for Return On Investment
Hivi nyie jamani ni watu wa aina gani? Hamtaki hata nchi yenu ipewe msaada? Kwa namna hii napata wasi wasi na ubinafsi wenu na chadema yenu kuwa hamuitakii mema nchi zaidi ya maslah yenu tu. Na kwa sababu hiyo basi niko tayari kupambana ktk vita dhidi ya chadema ingawa mimi si ccm.
Hivi nyie jamani ni watu wa aina gani? Hamtaki hata nchi yenu ipewe msaada? Kwa namna hii napata wasi wasi na ubinafsi wenu na chadema yenu kuwa hamuitakii mema nchi zaidi ya maslah yenu tu. Na kwa sababu hiyo basi niko tayari kupambana ktk vita dhidi ya chadema ingawa mimi si ccm.
hiyo ni investment siyo msaada,what they get in return:
-Employement to their unemployed consultants cum spies (cheki wikileaks)
-the money will by vitendea kazi from UK
-It will guarantee political influence (uK-EU is competing with China)
-Last but not least un hindered access to our Natural Resources. (angalia Libya.after machufuko UK special forces wameenda libya on Secret missions ,evacuations ktk oil fields) so kumuachia yule mfungwa back to libya haikuwa bure-bure.
Hivi nyie jamani ni watu wa aina gani? Hamtaki hata nchi yenu ipewe msaada? Kwa namna hii napata wasi wasi na ubinafsi wenu na chadema yenu kuwa hamuitakii mema nchi zaidi ya maslah yenu tu. Na kwa sababu hiyo basi niko tayari kupambana ktk vita dhidi ya chadema ingawa mimi si ccm.
unamwona cameroon anavyowabana watu wake eti akupe msaada wewe bure, kwani ufisadi Tz unafanyika na nani (rada ilitoka wapi, ndege ya rais, wamiliki wa migodo etc)Hivi nyie jamani ni watu wa aina gani? Hamtaki hata nchi yenu ipewe msaada? Kwa namna hii napata wasi wasi na ubinafsi wenu na chadema yenu kuwa hamuitakii mema nchi zaidi ya maslah yenu tu. Na kwa sababu hiyo basi niko tayari kupambana ktk vita dhidi ya chadema ingawa mimi si ccm.