mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
Mmh....umenivunja mbavu!wengi ni wale ambao hawana kazi za kueleweka wanawafuata hawa wazungu kwa ajili ya pesa, demu anachofanya ni kujua tu kingereza au kiswanglish, kumpa mzungu utamu na kupokea pesa
wengi wao wazungu ni wakubwa sana kwa age, anataka mtoto wa kuliwaza ataenda wap zaidi ya machangu
Ze opposite is true, hapa zenj utakuta wasichana wazuri wakizungu wakiwa na sampuli za wavulana kama hao wasichana unaosema. Na pia utashangaa kuona vibibi vya kizungu navyo vinaenda vimekumbatiwa na ha vijana wadogo. Kwa ufupi kama wewe ni mwanaume unataka msichana wa kizungu nenda zako kapate bangi, timua nywele, suruali fungia matakoni hapo ni mara moja kama si msichana wa kizungu basi utapata kabibi. Au vaa kimasahi na kuaza kusema mimi nimeishaua simba hapo mzungu hana la kusema!

wengi ni wale ambao hawana kazi za kueleweka wanawafuata hawa wazungu kwa ajili ya pesa, demu anachofanya ni kujua tu kingereza au kiswanglish, kumpa mzungu utamu na kupokea pesa
wengi wao wazungu ni wakubwa sana kwa age, anataka mtoto wa kuliwaza ataenda wap zaidi ya machangu
Ze opposite is true, hapa zenj utakuta wasichana wazuri wakizungu wakiwa na sampuli za wavulana kama hao wasichana unaosema. Na pia utashangaa kuona vibibi vya kizungu navyo vinaenda vimekumbatiwa na ha vijana wadogo. Kwa ufupi kama wewe ni mwanaume unataka msichana wa kizungu nenda zako kapate bangi, timua nywele, suruali fungia matakoni hapo ni mara moja kama si msichana wa kizungu basi utapata kabibi. Au vaa kimasahi na kuaza kusema mimi nimeishaua simba hapo mzungu hana la kusema!
nenda U turn.com uone mambo .. Wadada wamewan'gan'gania wazungu hadi shida .. Tatizo kupenda vitu vya bure .. Hawa wadada hawajui kuwa wangesoma wangekuwa na hela kuliko hata za hawa wababu wa kizungu
wazungu wanazimia urafu-rafu na si umaridadi. Waangalie hata wao wanavovaa. Ovyo-ovyo tu. Watavaa vizuri siku ya harusi au kwenye matamasha yenye hadhi fulani.
Umesema kweli Meddie,
Kuna mate wangu chuo aliwahi kusema wazungu wanapenda vitu vya tofauti na vigumu.
Wanaume na wanawake wanaokua na mahusiano ya kimapenzi na wazungu ni Sample moja.
Eti kuna watu wanasema wazungu wanapenda wanawake wa sampo hizo kwa vile ni rahisi kuwa DO kinyume na maumbile. Je hii inawezaHIZO HAPO JUU NI PREJUDICES zilizokokwenye jamii zetu kuhusu mahusiano ya Wazungu na Waafrika kwenye mzingira ya kwetu. Hii huchangia sana kuleta hali hii tunayoiona.
Nimewahi kuzungumza na wazungu kuhusu hili swala na hata wao wanajikuta njia panda pale watakapo uhusiano na waswahili. - Kuna wanaume wa kizungu wanaotaka mahusiano na wanawake wa kiafrika LAKINI inawawia vigumu sana kupata mwanamke "aliyetulia" kwa sababu wanawake "waliotulia" nao wanaogopa kuhesabiwa kuwa ni machangudoa kama wakionekana na wazungu.Wapo pia wazungu - wanawake na wanaume wanaotafuta starehe na waafrika ( utalii wa ngono).Hawa ndio hao waliosemwa na na Babuyao na Da Pretty kuwa wanapenda vitu rafu rafu, vigumu au tofauti.
Wazungu wanapotafuta wanawake wa kiafrika basi hujikuta wameangukia mikononi mwa watafutaji na siyo watu wenye mapenzi ya kweli. Hii inachangiwa na mazingira wanamowapata hawa wanawake au wanaume wa kiafrika.
Duuuh.....mkuu..... huyu demu Killi namjua saaana....ila sikufahamu kuwa na yeye ana babu yake wa kizungu ambae hana meno.
Haya ndo wanayoyakimbilia. Huyu Kili mume wake mzee fulani, ambaye hana hata meno. ukimkuta qbar, utacheka kweli
Hii habari ya wazungu wazee wa kike kufall in love na vijana wa bongo au wa kiunguja nishaisikiaga kitambo kidogo. Hivi ni kweli hayaZe opposite is true, hapa zenj utakuta wasichana wazuri wakizungu wakiwa na sampuli za wavulana kama hao wasichana unaosema. Na pia utashangaa kuona vibibi vya kizungu navyo vinaenda vimekumbatiwa na ha vijana wadogo. Kwa ufupi kama wewe ni mwanaume unataka msichana wa kizungu nenda zako kapate bangi, timua nywele, suruali fungia matakoni hapo ni mara moja kama si msichana wa kizungu basi utapata kabibi. Au vaa kimasahi na kuaza kusema mimi nimeishaua simba hapo mzungu hana la kusema!
Dada hongera kama umelijua hilo........nilifikiri ujui. Lakini ni kweli wanapenda hako kamtindo au ndiyo maneno ya watu?Hili swali lina ukweli kabisa mie hata huwa najiuliza hivi kwanini wazungu wanakuwa na wanawake hadi unaona aibu wanavyovaa aise.
Mzungu mie namuogopa sana kwa yale mambo ya tigolization labda na wadada wa heshima wengi hufanya hivyo maana duh unakuta mwanamke kavaa kama anajiuza
umeongea vyema mami,mavazi ni mavazi tu hayamnasibishi mtu na chochote kile,sijui tutakuwa lini kila mmoja anauashi wake kwenye mavazi kama unavaa ndefu mwenzio fupi,pana mwenzio yakubana....labda muonekano wa mambo mengine,ila kwa mavazi naona tunatofautiana kimtazamo na wazungu,sie huku kuvaa sketi ndefu na nguo zinazostahi mwili ni heshima wakati kwa mzungu ni kituko,akija na joto la Dar haexpect uvae nguo hizo,badala yake nguo zile fupi,vikaptula nk ili usife na joto,.....