Wazungu na Bikidude

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
Bi kidude alikwenda katika show london akafikia katika hotel ya kifahari akiwa chumbani kwake alichungulia nje akawaona watoto wa kizungu wanaogelea kwenye swimming pool naye akakumbuka mambo ya jahazi akatoka nje kimya akaingia kupiga mbizi alipoibuka watoto wote walipiga kelele na kukimbia walipoulizwa kuna nini walijibu kwa pamoja.There's a crocodile inside the pool!
 
Dah!! Sasa wangekumbana na sura ya Mugabe je?
 
dah hii hatari jamani,bibi wa watu kawakosea nini?
 
Dah ! samahani kwani wazungu wamwmfanyanini marehemu mbona naona habari tu ?:rockon:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…