ofcoz ndo mana hata ukimwi nafikiri ulisababishwa ma mambo haya ya kizungu ambayo wenyewe wanachukulia kama maendeleo ya sayansi na tecnologia katika suala zima la mapenzi.Aisee wapumbavu sana hao!!!
Hahahah! kweli wanaume wamechoka sana. Hata wanawake tumechoka kama dume zima na akili linalala na mbuzi, mbwa si balaa! Mungu atunusuru uzungu unapotupeleka ni kubaya zaidi.