Watoto wa kike wa Kizulu wana mapaja amazing sana, kiasi kwamba hata Mzee kama Pascal Mayalla akiyaona lazima apagawe!
wazulu ndo wale waliofungasha ma.ta.co km yote? mbona wangoni wa hapa hawapo ivo?Hii ni picha ya Wazulu wa Malawi, inayoitwa "Ngoni." Wanazungumza na kutekeleza lugha na utamaduni wa Kizulu na kufuatilia asili yao hadi KwaZulu. Sote tunawafahamu Wandebele (Wazulu wa Zimbabwe), lakini Wazulu wanapatikana kote Afrika Mashariki, katika nchi kama Malawi, Zambia, Msumbiji, hata Tanzania.
Wazulu/Wangoni hawa wa Malawi, wanadai kuwa walitoka kwa Wazulu waliohamishwa waliomkimbia Shaka KaSenzangakhona wakati wa Vita vya Kizulu, pia huitwa "Kipindi cha Mfecane
View attachment 3289249
daah ila afadhali maana wangeleta balaa sana apa🤣Ukame wa mbegu za kurutubisha na uchoyo usio na sababu
daah ila kuna watu wanakojoa sehemu salama sana😉Qmmke walah
Hivi kwanini huwa ni weupe kiivyo au ni machotara?