Sidhani kama umechunguza kabla ya kuandika hapa mkuu...
Mathalani Mlima Kilimanjaro upo kwenye rekodi za Guiness Book of World Records kama mlima mrefu duniani ambao ni "free standing".
Pia Guiness huwa wanapelekewa rekodi na wahusika na wao huja kuthibitisha tu, ingawaje kuna rekodi nyingine zilizo dhahiri ambazo ni simple observation hutumika kuzing'amua.