Wazugu wanafiki sana!!!

Wazugu wanafiki sana!!!

THECHANCE

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
301
Reaction score
121
Kwann hawaweki tz kwenye guinness book of records?

reason: rasilimali zake vs umaskini wake!!!!
 
Hapa Tz ukitaka magines mbona yako kibwena?
M.ulugo only ni mgines wa nguvu! (Zimbambwe vs Zanzibar altogether they create Un Rep of Tz)
 
Kwann hawaweki tz kwenye guinness book of records?

reason: rasilimali zake vs umaskini wake!!!!

Sidhani kama umechunguza kabla ya kuandika hapa mkuu...
Mathalani Mlima Kilimanjaro upo kwenye rekodi za Guiness Book of World Records kama mlima mrefu duniani ambao ni "free standing".
Pia Guiness huwa wanapelekewa rekodi na wahusika na wao huja kuthibitisha tu, ingawaje kuna rekodi nyingine zilizo dhahiri ambazo ni simple observation hutumika kuzing'amua.
 
Inatakiwa Tanzania ipelekwe huko Ginesi. Wanafunzi wanafaulu kwenda secondari wakiwa hawajui kusoma na kuandika
 
::
Sio hilo tu,,kuna watu Tz wana chale 178 mwilini lakini hata guiness book hawaingii
=
 
Back
Top Bottom